| Competence | Objective | Month | Week | Main Topic | Sub Topic | Periods | Teaching Activities | Learning Activities | Learning Aids | Assessment | References | Remarks |
| The student should have ability to: fanya tungo zenye upatanishi wa kisarufi | mwanafunzi aweze: i) kufafanua upatanishi wa kisarufi katika sentensi | Januari | Wiki Ya 3 | NGELI ZA NOMINO | Kuzielewa ngeli | 2 | i) Tumia majibu na maswali mifano na majadiliano kuwaongoza wanafunzi kubainisha ruwaza ya upatanishi wa kisarufi baina ya maneno katika sentensi | i) wanafunzi wajadili upatanishi wa kisarufi katika sentensi mbalimbali na kubainisha ruwaza yake | chati ya ngeli, matini, zenye ngeli za majina, chati za ngeli za nomino | je mwanafunzi ameweza kufafanua upatanishi wa kisarufi katika sentensi? | Kiswahili Kidato Cha Tatu, Kitabu Cha Mwanafunzi; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania | Remarks Written here |
| The student should have ability to: afasili tungo | mwanafunzi aweze: i) kueleza dhima ya tungo | Februari | Wiki Ya 1-2 | MJENGO WA TUNGO | Kueleza mjengo wa tungo | 8 | i) kwa kutumia maswali na majibu, uchunguzi na majadiliano, mwalimu awaongoze wanafunzi wabaini tungo mbalimbali kutokana na mazungumzo na maandiko anuai | i) wanafunzi wabaini tungo mbalimbali kutokana na mazungumzo na maandiko anuai ii) wanafunzi wapange tungo hizo kwa kutofautisha zilizo na sisizo halisi | chati zenye tungo za virai, vishazi na sentensi maandiko mbalimbali | je mwanafunzi ameweza kufasili tungo? | Kiswahili Kidato Cha Tatu, Kitabu Cha Mwanafunzi; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania | Remarks Written here |
| The student should have ability to: achanganue virai | mwanafunzi aweze: i) kubainisha virai ii) kufafanua virai | Februari | Wiki Ya 4 | MJENGO WA TUNGO | Ufafanuzi wa aina za tungo | 4 | i) waongoze wanafunzi kutaja tungo mbalimbali na ziandikwe ubaoni ii) kwa kutumia onesho mbinu, waongoze wanafunzi kufafanua aina za virai kulingana na dhima zake katika mawasiliano | i) wanafunzi wakiongozwa na mwalimu na mwalimu wabaini aina mbalimbali za virai zilizopo kwenye tungo hizo ii) wanafunzi waorodheshe virai hivyo kulingana na aina zake. | chati ya tungo yenye vishazi chati zenye aina ya sentensi, | je, mwanafunzi anaweza kufafanua virai? | Kiswahili Kidato Cha Tatu, Kitabu Cha Mwanafunzi; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania | Remarks Written here |
| The student should have ability to: aonyeshe uhusiano kati ya kiswahili na kibantu | mwanafunzi aweze kuonyesha ushahidi wa kimsamiati na kimuundo unaodhibitisha ubantu wa kiswahili | March | Wiki Ya 2 | MAENDELEO YA KISWAHILI | Asili ya kiswahili | 4 | i) tumia majadiliano , chati ya visawe, awaongoze wanafunzi kuonyesha ushahii wa kimuundo wa ubantu wa kiswahili kwa kuzingatia lugha za makabila mbalimbali tanzania | i) wanafunzi watoe mifano kadhaa ya maneo kudhibitisha ubantu wa kiswahili. wafanye hivyo kwa kuzungumza na kuandika | kamusi ya kiswahili chati ya visawe vya maneno ya kiswahili na maneno ya lugha nyingine za kibantu | je, mwanafunzi ameweza kuonesha mfafanuo wa kimsamiati wa kiswahili na maneno ya lugha nyingine za kibantu? | Kiswahili Kidato Cha Tatu, Kitabu Cha Mwanafunzi; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania | Remarks Written here |
| The student should have ability to: afafanue mfano wa ruwaza ya miundo | mwanafunzi aweze kufafanua jinsi miundo ya kiswahili inavyofanana na miundo ya lugha nyingine za kibantu | April | Wiki Ya 4 | MAENDELEO YA KISWAHILI | Asili ya kiswahili | 2 | i) waongoze wanafunzi watamke sentensi moja kwa lugha mbalimbali za kibantu, kisha aongoze majadiliano kuhusu kufanana kwa sentensi hizo ii) tumia chati ya ruwaza za miundo ya kiswahili na lugha nyingine za kibantu kuongoza majadiliano ya mfanano huo | i) wanafunzi wajenge ruwaza kutokana na sentensi hizo ii) wanafunzi wajadili kufanana kwa miundo hiyo iii) wanafunzi wafanye kazi ya mradi wa utafiti wa miuno mbalimbai ya kiswahili na kuifananisha na lugha zao za kibantu | chati ya ruwaza ya miuno ya kiswahili na lugha nyingine za kibantu | je mwanafunzi ameweza kufafanua mfano wa ruwaza ya miundo ya kiswahili na ya lugha nyingine za kibantu? | Kiswahili Kidato Cha Tatu, Kitabu Cha Mwanafunzi; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania | Remarks Written here |