| Main competence | Specific competence | Learning Activities | Specific activities | Month | Week | Periods | Reference | Teaching and learning methods | Teaching and learning resources | Assessment tools | Remarks |
| 1.0 Kumudu historia ya Tanzania na maadili wakati wa ukoloni, 1890- 1960 | 1.1 Kutumia maarifa na ujuzi wa chimbuko na ukuaji wa mfumo wa ukoloni kuelewa uhusiano wa kihistoria kati ya Tanzania na mataifa yaliyoitawala | (a) Kuchambua chimbuko la ukoloni | Chimbuko la ukoloni limechambuliwa kwa kina | January | Week 2 | 2 | TIE(2023) Historia Students Book For Form Two. Dar es salaam | Utafiti mdogo:
Elekeza wanafunzi
kusoma matini
kutoka katika vyanzo
mbalimbali na
kuandika maelezo
kuhusu chimbuko la
ukoloni. Majadiliano: Ongoza wanafunzi katika vikundi kujadili chimbuko la ukoloni na kisha kuwasilisha darasani kwa majadiliano ya pamoja. |
Matini kuhusu chimbuko la mfumo wa ukoloni Picha mbalimbali kuonesha wataala na shughuli za wakoloni | •Quizzes, questions and answers | Remarks Written here |
| 1.0 Kumudu historia ya Tanzania na maadili wakati wa ukoloni, 1890- 1960 | 1.2 Kutathmini athari za mfumo wa ukoloni kwenye maadili ya jamii za Kitanzania | (a) Kueleza hali ya maadili ya jamii za Kitanzania kipindi ukoloni unaingia | Hali ya maadili ya jamii za Kitanzania kipindi ukoloni unaingia imeelezwa | February | Week 1 | 2 | TIE(2023) Historia Students Book For Form Two. Dar es salaam | Changanyakete: Gawa wanafunzi katika vikundi na kila kikundi kisome matini kuhusu hali ya maadili ya jamii mojawapo ya Kitanzania kipindi ukoloni unaingia. Kisha kila kikundi kitoe mwakilishi kwenda kikundi kingine kufundisha walichojifunza katika kikundi chao. | Matini kuhusu athari za mfumo wa ukoloni kwenye maadili ya jamii za Kitanzania | •Quizzes, questions and answers •class presentation, tests, monthly evaluation |
Remarks Written here |
| 1.0 Kumudu historia ya Tanzania na maadili wakati wa ukoloni, 1890- 1960 | 1.2 Kutathmini athari za mfumo wa ukoloni kwenye maadili ya jamii za Kitanzania | (b) Kuchambua athari za mfumo wa ukoloni katika maadili ya jamii za Kitanzania | Athari za mfumo wa ukoloni katika maadili ya jamii za Kitanzania zimechambuliwa kwa kina | February | Week 2- | 1 | TIE(2023) Historia Students Book For Form Two. Dar es salaam | Utafiti mdogo: Elekeza kila mwanafunzi kusoma matini kutoka katika vyanzo mbalimbali na kuandika maelezo kuhusu athari za mfumo wa ukoloni katika maadili ya jamii za Kitanzania. | Matini kuhusu athari za mfumo wa ukoloni kwenye maadili ya jamii za Kitanzania | •Quizzes, questions and answers •observation, remedial work, take home assignment |
Remarks Written here |
| 1.0 Kumudu historia ya Tanzania na maadili wakati wa ukoloni, 1890- 1960 | 1.2 Kutathmini athari za mfumo wa ukoloni kwenye maadili ya jamii za Kitanzania | (c) Kubaini maadili yaliyodumishwa na jamii za Kitanzania wakati wa ukoloni | Maadili yaliyodumishwa na jamii za Kitanzania wakati wa ukoloni yamebainishwa | February | Week 2 | 1 | TIE(2023) Historia Students Book For Form Two. Dar es salaam | Majadiliano: Ongoza
wanafunzi katika
vikundi kubainisha
athari chanya na hasi
za mfumo wa ukoloni
katika maadili ya
jamii za Kitanzania Kisamafunzo: Elekeza wanafunzi kusikiliza kisamafunzo kuhusu maadili yaliyodumishwa na jamii mojawapo ya Kitanzania wakati wa ukoloni. Maswali na majibu: Uliza maswali kuwezesha wanafunzi kueleza maadili yaliyodumishwa katika jamii nyingine za Kitanzania wakati wa ukoloni. |
Matini kuhusu athari za mfumo wa ukoloni kwenye maadili ya jamii za Kitanzania | •Quizzes, questions and answers •observation, remedial work, take home assignment •class presentation, tests, monthly evaluation |
Remarks Written here |