| Main competence | Specific competence | Learning Activities | Specific activities | Month | Week | Periods | Reference | Teaching and learning methods | Teaching and learning resources | Assessment tools | Remarks |
| UUNDAJI WA MANENO | Kutumia 1 uarnbishaji | 1. Wanafunzi wavitaje na mwalimu aviandike ubaoni., 2. Wanafunzi wabaini mabadiliko ya maana kutokana na mabadiliko ya viambishi. 3. Wanafunzi wafanye mazoezi ya kubadili maana za maneno kwa kubadilisha mofimu. 4. Wanafunzi wataje maneno kadhaa, kisha kwa njia ya majadiliano wabainishe mofimu za kila neno na dhima zake. 5. Wanafunzi wakiongozwa na mwalimu wataje maneno mbalimbali kisha wajadili na kubaini mofimu tegemezi na mofimu hum katika maneno kayo. 6. Wanafunzi watumie mofimu mbalimbali katika kuunda maneno. 7. Wanafunzi watumie maneno hayo katika sentensi. |
Mwanafunzi aweze: 1. Kubainisha mofimu katika maneno. 2. Kufafanua dhima za mofimu |
Januari | Wiki Ya 3 | 3 | TIE(2023) Kiswahili kidato cha Pili, kitabu cha mwanafunzi. Dar es salaam | 1. waongoze wanafunzi wataje vitenzi kadhaa. 2. waongoze wanafunzi kubadili vipashio mwanzoni na mwishoni mwa maneno hayo. 3. waongoze wanafunzi kutoa fasili ya mofimu. 4. Tuumia njia ya maswali na majibu kuwaongoza wanafunzi wafafanue dhima za mofimu. |
Chati za ukutani zinazoonesha viambishi kwenye maneno, | •Majaribio na mazoezi | Remarks Written here |
| UUNDAJI WA MANENO | Kutumia mnyumbuliko - | 1. Wanafunzi. wajadili na kueleza miktadha inayohitaji
matumiziya maneno mapya. Miktadha hiyo ijumuishe teknolojia, sanaa na sayansi. 2. Wanafunzi wajibu maswali yanayohusu maana na dhima ya uambishaji na mnyumbuliko wa maneno. 3. Wanafunzi wafanye mazoezi ya kuunda maneno mbahmhali. kwa. kutumia mnyumbuliko. 4. Wanafimzi watumie maneno hayo katika miktadha rnbalimbali ikijumuisha masuala ya Ukimwi, Jinsia, Kilimo, Elimu ya Mazingira. |
1. Kueleza mazingira yanayosababisha mahitaji ya maneno mapya. 2. Mwanafunzi aweze kufafanua dhima ya uambishaji na mnyumbuliko wa maneno. 3. Kuunda maneno mbalimbali kwa kutumia mnyumbuliko 4. Mwanafunzi aweze kutumia maneno ya mnyumbuliko katika miktadha mbalimbali | Januari | Wiki Ya 4 | 3 | TIE(2023) Kiswahili kidato cha Pili, kitabu cha mwanafunzi. Dar es salaam | 1. Tumia maswali na majibu na majadiliano kuibua fikra za wanafunzi kuhusu miktadha inayodai mat.urnizi ya maneno mapya. 2. Tuumia mifano, maswali na majibu na majadiliano katika. kufafanua maana na dhima ya uambishaji na mnyumbuliko wa maneno. 3. waongoze wanafunzi waunde maneno mbalimbali kwa kutumia mnyumbuliko. 1. Waongoze wanafunzi watunge sentensi kwa kutumia maneno yamnyumbuliko. |
Chati za ukutani zinazoonesha viarnbishi
kwenye maneno. Picha za katuni za dhima za mnyumbuliko |
•kazi za nyumbani na mijadala ya darasani | Remarks Written here |
| MATUMIZI YA LUGHA KATIKA MIKTADHA MBALIMBALI | Rejesta | 1. Wanafunzi washiriki katika maigizo kisha wajadili kuhusu fasili na dhima ya rejesta. | Mwanafunzi aweze: 1. Kuwasiliana kwa kutumia rejesta 2. Kuwasiliana kwa kutumia misimu. | Februari | Wiki Ya 1 | 3 | TIE(2023) Kiswahili kidato cha Pili, kitabu cha mwanafunzi. Dar es salaam | 1. waongoze wanafunzi katika maigizo ya kutumia rejesta katika mazingira mbalimbali hotelini, gulioni, mahakamani. 3. Kwa kutumia bungua bongo waongoze wanafunzi wataje rejesta zinazotumika katika miktadha mbalimbali. 4. waongoze ya kukusanya rejesta zinazotumika katika mazingira mbalimbali. | wanafunzi wafanye kazi mradi Matini zenye rejesta | •mitihani ya mwezi | Remarks Written here |
| MATUMIZI YA LUGHA KATIKA MIKTADHA MBALIMBALI | Misimu | 1. Wanafunzi watoe misimu wanayoijua kisha waeleze
umuhimu na matumizi yake. 2. Wanafunzi wazilete kazi hizo darasani kisha wazijadili katika vikundi |
Mwanafunzi aweze: 1. Kueleza miktadha ya mawasiliano yanayotumia misimu | Februari | Wiki Ya 2 | 3 | TIE(2023) Kiswahili kidato cha Pili, kitabu cha mwanafunzi. Dar es salaam | 1. toa mifano kadhaa ya misimu na wanafunzi waeleze chanzo; sababu na matumizi ya misimu hiyo. 2. waongoze wanafunzi wafanye kazi mradi za kukusanya misimu inayotumika katika miktadha rnbalimbali. |
Vitini vya misimu | •Majaribio na mazoezi •mitihani ya mwezi |
Remarks Written here |