| Main competence | Specific competence | Learning Activities | Specific activities | Month | Week | Periods | Reference | Teaching and learning methods | Teaching and learning resources | Assessment tools | Remarks |
| 1.0 Kumtambua, kumpenda, kumtukuza na kumsifu Allaah (S.W). | 1.1 Kutambua uwepo wa Allaah (S.W) na sifa zake. | (a) Kufafanua ufahamu wa dini kwa mujibu wa Qur’an. (tofauti ya mtazamo wa Uislamu na ukafiri juu ya chanzo na kazi ya dini, sababu za hitajio la dini kwa mwanadamu). | Kufafanua ufahamu wa dini kwa mujibu wa Qur’an | Januari | Wiki Ya 3 | 3 | Elimu Ya Dini Ya Kiislam, Kidato Cha Pili, Kitabu cha mwanafunzi. Dar es salaam | Majadiliano:
Ongoza wanafunzi katika
vikundi vidogo vidogo kusoma
matini uliyoandaa waweze
kujifunza kisha kufafanua. (i) tofauti kati ya mtazamo wa Uislamu na mtazamo wa kikafiri juu ya chanzo na kazi ya dini katika jamii, (ii) sababu za hitajio la dini kwa mwanadamu. Kila kikundi kuwepo mwakilishi wa kuwasilisha walichojifunza mbele ya darasa. |
- Kitabu cha kiada
kidato cha 2 - Matini mbalimbali kuhusu ufahamu wa dini kwa mujibu wa Qur’an - Bango kitita |
•Majaribio na mazoezi | Remarks Written here |
| 1.0 Kumtambua, kumpenda, kumtukuza na kumsifu Allaah (S.W). | 1.1 Kutambua uwepo wa Allaah (S.W) na sifa zake. | (b) Kufafanua njia za kumjua Allaah (S.W) na kuthibitisha kuwepo kwake (njia za kumjua Allaah, kumuamini Allah sio sualla la kibubusa, udhaifu wa madia ya makafiri dhidi ya kuwepo Allaah (S.W), dalili za kuwepo Allaah (S.W)) Udhaifu wa madai ya makafiri dhidi ya kuwepo kwa Allaah (S.W) (v) Athari za kumuamini Allaah (S.W) katika maisha ya kila siku. | Kufafanua wa usahihi njia za kumjua Allaah (S.W) na kuthibitisha kuwepo kwake | Januari | Wiki Ya 4 | 3 | Elimu Ya Dini Ya Kiislam, Kidato Cha Pili, Kitabu cha mwanafunzi. Dar es salaam | Utafiti mdogo:
elekeza wanafunzi kusoma
matini ulioandaa ya njia
za kumjua Allaah (S.W) na
kuandika maelezo yao binafsi
kuhusu nafasi ya fitra na akili
katika kumtambua Allaah (S.W).
Majadiliano;
Ongoza wanafunzi katika
vikundi kusoma matini
uliyoandaa kisha kujadiliana juu
ya kuonesha kuwa, kumuamini
Allaah (S.W) si suala la kufuata
mkumbo: (ii) Udhaifu wa madai ya makafiri dhidi ya kuwepo kwa Allaah (S.W) (iii) dalili za kuthibitisha kuwepo kwa Allaah (S.W). (mbingu, ardhi na vilivyomo, umbile la mwanadamu, historia ya mwanadamu, maisha ya mitume na mafundisho ya mitume) (iv) Athari za kumuamini Allaah (S.W) katika maisha ya kila siku. |
- Kitabu cha kiada
kidato cha 2 - Bango kitita - Tafsiri ya Qur’an ya Sheikh Abdulla Saleh Farsy - TEHAMA. - Matini mbalimbali - TEHAMA |
•kazi za nyumbani na mijadala ya darasani | Remarks Written here |
| 1.0 Kumtambua, kumpenda, kumtukuza na kumsifu Allaah (S.W). | 1.1 Kutambua uwepo wa Allaah (S.W) na sifa zake. | (c) Kuchambua sifa na majina 99 ya Allaah (S.W) (kuyasoma, kuyahifadhi na kuyazingatia). | Kuchambua wa usahihi sifa na majina ya Allaah (SW) | Februari | Wiki Ya 1 | 3 | Elimu Ya Dini Ya Kiislam, Kidato Cha Pili, Kitabu cha mwanafunzi. Dar es salaam | Kazi mradi
Ongoza wanafunzi katika
vikundi vidogo vidogo
kujadiliana kisha kuwasilisha
walichojifunza juu ya: (i) Sifa na majina ya Allaah (SW). (ii) Baada ya muda waliopewa kukamilika, waongoze wanafunzi wakutane kwa muda wao nje ya darasa kusoma majina ya Allaah (S.W) na tafsiri zake kisha kuwasilisha kazi zao. |
- Kitabu cha kiada
kidato cha 2 - TEHAMA - Matini mbalimbali kuhusu sifa na majina ya Allaah (SW) |
•mitihani ya mwezi | Remarks Written here |
| 1.0 Kumtambua, kumpenda, kumtukuza na kumsifu Allaah (S.W). | 1.2 Kuisoma Qur’an kwa mazingatio ya hukumu na ujumbe. | (a) Kuchambua ufahamu wa hukumu za usomaji wa Qur’an. (hukumu za mim na nuni zenye shadda, hukumu za mim sakina | Kuchambua wa usahihi ufahamu wa usomaji wa Qur’an | Februari | Wiki Ya 2 | 3 | Elimu Ya Dini Ya Kiislam, Kidato Cha Pili, Kitabu cha mwanafunzi. Dar es salaam | Majadiliano
Ongoza wanafunzi katika
vikundi vidogo vidogo
kujadiliana kisha kuwasilisha
walichojifunza juu ya: (i) hukumu za mim na nuni zenye shadda, (ii) hukumu za mim sakini |
- Kitabu cha kiada
kidato cha 2 - Matini mbalimbali kuhusu tajwiid. |
•Majaribio na mazoezi •mitihani ya mwezi |
Remarks Written here |