| Main competence | Specific competence | Learning Activities | Specific activities | Month | Week | Periods | Reference | Teaching and learning methods | Teaching and learning resources | Assessment tools | Remarks |
FORM ONE ORIENTATION COURSE(13th January - 23rd February 2026) | |||||||||||
| 1.0 Kumudu misingi ya Kiswahili | 1.1 Kutambua Kiswahili kama kielelezo cha utaifa na utambulisho wa Mtanzania | (a) Kutumia Kiswahili katika mijadala mbalimbali kwa kuzingatia utamaduni wa Mtanzania (mf. matumizi ya tafsida na uteuzi wa maneno kulingana na mila na desturi za Mtanzania) | Tumia maneno sahihi katika muktadha | Februari | Wiki Ya 4 | 2 | TIE(2023) Kiswahili kidato cha Kwanza, Kitabu cha mwanafunzi. Dar es salaam | Maswali na majibu, Kisamafunzo, Utafiti mdogo, Majadiliano, Changanyakete, Mtaalam mwalikwa | Kinyonyi chenyemazungumzo yaliyorekodiwa, matini za sarufi, kamusi, chati ya tungo |
|
Remarks Written here |
| 1.0 Kumudu misingi ya Kiswahili | 1.1 Kutambua Kiswahili kama kielelezo cha utaifa na utambulisho wa Mtanzania | (a) Kutumia Kiswahili katika mijadala mbalimbali kwa kuzingatia utamaduni wa Mtanzania (mf. matumizi ya tafsida na uteuzi wa maneno kulingana na mila na desturi za Mtanzania) | Tumia maneno sahihi katika muktadha. | Februari | Wiki Ya 4 | 1 | TIE(2023) Kiswahili kidato cha kwanza, kitabu cha mwanafunzi. Dar es salaam | Maswali na majibu, Kisamafunzo, Utafiti mdogo, Majadiliano, Changanyakete, Mtaalam mwalikwa | Kinyonyi chenyemazungumzo yaliyorekodiwa, matini za sarufi, kamusi, chati ya tungo | Mazoezi, maswali, Kazi ya Vikundi Kazi mradi Majaribio majadiliano | Remarks Written here |
| 1.0 Kumudu misingi ya Kiswahili | 2.1 Kukuza uelewa wa sarufi ya Kiswahili | (a) Kutumia Kiswahili katika mijadala mbalimbali kwa kuzingatia utamaduni wa Mtanzania (mf. matumizi ya tafsida na uteuzi wa maneno kulingana na mila na desturi za Mtanzania) | Tumia maneno sahihi katika muktadha | Machi | Wiki Ya 1 | 3 | TIE(2023) Kiswahili kidato cha kwanza, kitabu cha mwanafunzi. Dar es salaam | Maswali na majibu, Kisamafunzo, Utafiti mdogo, Majadiliano, Changanyakete, Mtaalam mwalikwa | Kinyonyi chenyemazungumzo yaliyorekodiwa, matini za sarufi, kamusi, chati ya tungo | Mazoezi, maswali, Kazi ya Vikundi Kazi mradi Majaribio majadiliano | Remarks Written here |