| Main competence | Specific competence | Learning Activities | Specific activities | Month | Week | Periods | Reference | Teaching and learning methods | Teaching and learning resources | Assessment tools | Remarks |
FORM ONE ORIENTATION COURSE(13th January - 23rd February 2026) | |||||||||||
| 1.0. Kumtambua, kumpenda, kumtukuza na kumsifu Allaah (S.W). | 1.1 Kutambua uwepo wa Allaah (S.W) na sifa zake. | (a) Kufafanua ufahamu wa Elimu kwa mtazamo wa Uislamu. (Maana, lengo, chanzo na umuhimu wa elimu, sifa za mtu aliyeelimika, mgawanyo wa Elimu, umuhimu wa somo la Elimu ya Dini ya Kiislamu, uhusiano wa somo la Elimu ya Dini ya Kiislamu na masomo mengine). | Ufahamu sahihi wa Elimu | Februari | Wiki Ya 4 | 2 | Elimu Ya Dini Ya Kiislam, Kidato Cha Kwanza, Kitabu cha mwanafunzi. Dar es salaam | Bunguabongo na
majadiliano:
Ongoza wanafunzi katika
vikundi vidogo vidogo kubungua
bongo kisha wajadiliane kwa
kufafanua:
(i) Maana ya Elimu, (ii) Sifa za mtu aliyeelimika, (iii) Chanzo cha Elimu zote (iv) Umuhimu na lengo la Elimu. (v) Mgawanyo wa Elimu (vi) Umuhimu wa somo la Elimu ya Dini ya Kiislamu. (vii) Uhusiano wa somo la Elimu ya Dini ya Kiislamu na masomo mengine. Baada ya majadiliano, mmoja katika kundi awasilishe darasani. |
- Kitabu cha kiada
kidato cha 1 - Bango kitita - Tafsiri ya Qur’an ya sheikh Abdullah Saleh Farsy - TEHAMA |
|
Remarks Written here |
| 1.0. Kumtambua, kumpenda, kumtukuza na kumsifu Allaah (S.W). | 1.1 Kutambua uwepo wa Allaah (S.W) na sifa zake. | (b) Kuchambua ufahamu wa dini kwa mujibu wa Qur’an na Sunnah. (Maana ya dini, aina za dini) | Kuchambua wa usahihi ufahamu wa dini | Februari | Wiki Ya 4 | 1 | Elimu Ya Dini Ya Kiislam, Kidato Cha Kwanza, Kitabu cha mwanafunzi. Dar es salaam | Fikiri – jozisha –
shirikisha:
Ongoza wanafunzi katika
vikundi vidogo vidogo kupitia
fikiri – jozisha - shirikisha
kufafanua (i) Maana ya dini kwa mtazamo wa Qur’an na Sunnah (ii) Aina za dini kwa mujibu wa Qur’an na Sunnah, Kila kundi kutoa muwakilishi mmoja kuwasilisha walichojifunza. |
- Kitabu cha kiada
kidato cha 1 - Tafsiri ya Qur’an ya sheikh Abdullah Saleh Farsy - TEHAMA |
Mazoezi, maswali, Kazi ya Vikundi Kazi mradi Majaribio majadiliano | Remarks Written here |
| 1.0. Kumtambua, kumpenda, kumtukuza na kumsifu Allaah (S.W). | 1.1 Kutambua uwepo wa Allaah (S.W) na sifa zake. | c) Kuchambua ufahamu wa Imani kwa mujibu wa Qur’an na Sunnah. (Maana, nguzo za Imani na nguzo ya ihsani, sifa za muumini wa kweli katika aya za Quran; (49:15), ( 8:2 – 4), (2:2 – 5), (23:1-11) | Kuchambua wa usahihi ufahamu wa Imani | Machi | Wiki Ya 1 | 3 | Elimu Ya Dini Ya Kiislam, Kidato Cha Kwanza, Kitabu cha mwanafunzi. Dar es salaam | Bunguabongo na
majadiliano:
Ongoza wanafunzi katika
vikundi kubungua bongo kisha
wajadiliane juu ya (i) Maana ya Imani (ii) Nguzo za Imani na nguzo ya Ihsan (iii) Sifa za muumini wa kweli kwa mujibu wa Quran; (49:15), (8:2 – 4), (2:2 – 5), (23:1-11) |
- Kitabu cha kiada
kidato cha 1 - Bango kitita - Tafsiri ya Qur’an ya Sheikh Abdullah Saleh Farsy - TEHAMA - Matini mbalimbali kuhusu Imani ya Kiislamu. |
Mazoezi, maswali, Kazi ya Vikundi Kazi mradi Majaribio majadiliano | Remarks Written here |