MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

URAIA NA MAADILI A TANO

KUFIKIA MALENGO

Chagua jibu sahihi

  1. Hali inayopunguza ukamilifu wa kitu inaitwa?
  1. Shida
  2. Kudorora
  3. Kupooza
  4. Kipato
Choose Answer


  1. Kuangalia kitu kwa undani kisha kukadiria thamani yake au ubora wake huitwa
  1. Kuchunguza
  2. Mpangokazi
  3. Tathmini
  4. Morali
Choose Answer


  1. Utaratibu wa kufanya kazi kwa hatua ili kufikia lengo lililokusudiwa ni;
  1. Ratiba
  2. Bajeti
  3. Mpangokazi
  4. Kipaumbele
Choose Answer


  1. Faida ya kutathmini kwa mtoto ni;
  1. Kujiamini
  2. Kuacha uvivu
  3. Kudekezwa
  4. Kutofanya kazi
Choose Answer


  1. Tathmini shuleni inapaswa kuwa;
  1. Kazi za darasani tu
  2. Kazi za darasani na nje ya darasa
  3. Kazi za viwanjani
  4. Katika mitihani tu
Choose Answer


  1. Tabia gani sio sahihi
  1. Kuwa na mtazamo chanya
  2. Kujituma kazini
  3. Kutegea kazi za nyumbani
  4. Kushirikiana na wenzako
Choose Answer


  1. Fedha au mavuno yatokanayo na kazi unayofanya huitwa
  1. Mali
  2. Mshahara
  3. Kipato
  4. Malipo
Choose Answer


  1. Ari ya kufanya kazi inaitwa?
  1. Hamu
  2. Bidii
  3. Morali
  4. Mori
Choose Answer


  1. Uwezo wa kujiongoza ni:
  1. Tathmini
  2. Bidii
  3. Uwajibikaji
  4. Nidhamu
Choose Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256