MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

MAARIFA YA JAMII DARASA LA NNE

RASILIMALI ZETU

Andika ndiyo kama sentensi ni sahihi na hapana kama sentensi si sahihi

  1. Majengo, mifugo, samani na nguzo za simu ni baadhi ya rasilimali…………………
  2. View Answer


  3. Barabara hutumika kwashughuli za uvuvi, kilimo, biashara na ufugaji……………
  4. View Answer


  5. Watu ni rasilimali…………………..
  6. View Answer


  7. Panga, rungu, upinde na mshale ni silaha za jadi zinazoweza kutumika kulinda rasilimali zetu…………..
  8. View Answer


  9. Siyo vema kuzifanyia ukarabati rasilimali mara tu zinapoharibika……………….
  10. View Answer


  11. Ardhi ni rasilimali inayotumika kwa kilimo, na ujenzi wa barabara, reli na majengo……………
  12. View Answer


  13. Mazao ya shambani ni rasilimali ambayo haingezi mapato katika Kijiji……………..
  14. View Answer


  15. Mbao, kuni, mkaa na dawa za asili ni mazao yatokanayo na misitu………………
  16. View Answer


  17. Tusipotunza vizuri rasilimali tutapata maendeleo…………………..
  18. View Answer


  19. Kuchoma miti, kutupa taka ovyo na kuharibu vyanzo vya maji ni vitendo vinavyo haribu rasilimali………
  20. View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256