MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

MAARIFA YA JAMII DARASA LA NNE

MASHUJAA WETU

Chagua jibu lililo sahihi

  1. Tanganyika ilitawaliwa na wajerumani tangu mwaka…………..
  1. 1886 hadi 1961
  2. 1885 hadi 1907
  3. 1919 hadi 1945
  4. 1886 hadi 1918
Choose Answer

  1. Ni njia gani unaweza kuzitumia ili kupata taarifa za mashujaa katika jamii?.........
  1. Kwa kusoma na kuhadithiwa Habari zao
  2. Kwa kuangalia nyuso zao
  3. Kwa kuangalia miili yao kama ina nguvu
  4. Kwa kuota ndoto
Choose Answer

  1. Kinjeketile Ngwale aliongoza mapambano ya kupinga uvamizi wa wajerumani katika mikoa ipi?
  1. Mwanza na Shinyanga
  2. Tabora na Pwani
  3. Mtwara na Lindi
  4. Pwani na Tanga
Choose Answer

  1. Moja ya sababu zilizowafanya wajerumani kuvamia Tanganyika ilikuwa……………
  1. Kueneza Dini ya Kiislamu
  2. Upendo wa wajerumani kwa watanzania
  3. Kutafuta masoko ya bidhaa zao
  4. Kuimarisha misingi ya uzalendo
Choose Answer

  1. Mtemi Isike aliongoza kabila gani kuwapinga wajerumani?
  1. Wasukuma
  2. Wanyamwezi
  3. Wazaramo
  4. Wahehe
Choose Answer

  1. Ipi sio tabia ya shujaa?
  1. Anajitolea
  2. Sio mbinafsi
  3. Mchapa kazi
  4. Anapenda majigambo
Choose Answer

  1. Sababu kubwa iliyowafanya waafrika kushindwa na wajerumani ni?
  1. Kukosa ushirikiano
  2. Ukosefu wa chakula
  3. Kukosa Sihala nzuri kama za wazungu
  4. Ushirikina
Choose Answer

  1. Sababu kubwa ya Waafrika kupigana na wajerumani ilikuwa ni
  1. Kupinga rushwa
  2. Kupinga uvamizi wa wajerumani
  3. Kupinga ukiristo
  4. Kukataa mila za kigeni
Choose Answer

  1. Tunapaswa kufanya yafuatayo migogoro inapotokea katika jamii zetu ispokuwa?
  1. Kusuluhisha kwa haraka
  2. Kutumia mbinu nzuri
  3. Kutumia nguvu nyingi
  4. Kuhusisha jamii zote
Choose Answer

  1. Tanganyika ilipata uhuru wake mwaka?
  1. 1963
  2. 1960
  3. 1961
  4. 1963
Choose Answer

Andika ndiyo kama sentensi ni sahihi na hapana kama sentensi sio sahihi:

  1. Mashujaa wetu hukumbukwa kwa kusherehekea sikukuu ya mashujaa…………..
  2. View Answer

  3. Mzalendo yeyote anatakiwa kuwa shujaa wa taifa lake…………
  4. View Answer

  5. Mojawapo ya sababu zilizofanya jamii zetu kushindwa katika vita dhidi ya wajerumani ni silaha duni……………
  6. View Answer

  7. Njia nzuri ya kutatua migogoro ni vita………….
  8. View Answer

  9. Kinjeketile alikuwa ni shujaa wa watu wa Iringa…………
  10. View Answer

  11. Shujaa hutoa Maisha yake yote kwa ajili ya watu wengine……………..
  12. View Answer

  13. Shujaa hukimbia matatizo pale yanapotokea………….
  14. View Answer

  15. Mashujaa wengi katika jamii hutuletea matatizo…………..
  16. View Answer

  17. Shulaa huwaongoza watu wake kupambana bila kukata tamaa………….
  18. View Answer

  19. Shujaa lazima awe na nguvu za kupigana kuliko watu wote………….
View Answer

Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256