MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

MAARIFA YA JAMII DARASA LA NNE

UHUSIANO MWEMA KATIKA JAMII

Chagua Jibu Sahihi

1. Familia ya mzazi mmoja inajumuisha......

  1. baba au mama na watoto
  2. babu na watoto
  3. bibi na watoto
  4. mjomba na watoto
Choose Answer


2. Moja ya majukumu ya chifu wa ukoo ilikuwa ni....

  1. kusuluhisha migogoro katika ukoo
  2. kupeleka watoto shule
  3. kusimania usafi shuleni
  4. kusimamia taaluma shuleni.
Choose Answer


3. Familia hujumuisha..

  1. watu wanaoishi kijiji kimoja
  2. watu wanaoishi mtaa rnmoja
  3. baba, mama na watoto
  4. baba, mama na majirani
Choose Answer


4. Mali ya familia inatakiwa kulindwa na

  1. watoto peke yao
  2. baba na mama
  3. kila mwanafamilia
  4. babu na bibi
Choose Answer


5. Nasaba ni hali ya kuwa na...........

  1. uhusiano wa karibu sana
  2. watoto wa karibu sana
  3. uhusiano baina ya watu katika familia
  4. urafiki mzuri baina ya watu
Choose Answer


6. Chimbuko la familia ni:

  1. babu na bibi
  2. baba na mama
  3. shangazi na mjomba
  4. watoto na wazazi
Choose Answer


7. Nini faida ya mgawanyo wa kazi katika familia?

  1. Hudhoofisha familia
  2. Huchochea utengano
  3. Huleta udikteta
  4. Huleta maendeleo
Choose Answer


8.Kabla ya ukoloni majukumu ya kiongozi wa ukoo yalikuwa ni pamoja na:

  1. kutatua migogoro
  2. kusaini mikataba na wakoloni
  3. kuongeza idadi ya mifugo
  4. kujenga nyumba
Choose Answer


9.Jukumu la ulinzi katika familia ni la nani?

  1. Baba na watoto.
  2. Baba, jamaa na marafiki.
  3. Watoto, mama na jirani
  4. Kila mtu katika familia
  5. Watoto, jamaa na marafiki
Choose Answer


10.Mtoto wa shangazi yako ni:

  1. mjomba
  2. binamu
  3. dada
  4. mpwa
Choose Answer


  1. Uhusiano ni………………….
  1. Hali ya watu wawili na Zaidi wenye malengo ya Pamoja
  2. Hali ya kugombana baina ya mtu na mtu
  3. Hali ya kufanya kazi peke yako
View Answer


Andika ndiyo kama sentensi ni sahihi na hapana kama sentensi si sahihi.

  1. Katika Maisha yetu ya kila siku hatutakiwi kuwa na uhusiano mwema………….
  2. View Answer


  3. Ukabaila ni mfumo wa kwanza wa kiuchumi katika hatua na mabadiliko ya maendeleo ya kibinadamu…………..
  4. View Answer


  5. Kukaa vikao vya usuluhishi, kuunda kamati za ulinzi, kuwekea mipaka, na kutumia wazee wa kimila ni njia za kutatua migogoro………….
Choose Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256