MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

MAARIFA YA JAMII DARASA LA NNE

UTAMADUNI WETU

Chagua Jibu Sahihi

1. Moja ya majukumu ya chifu wa ukoo ilikuwa ni....

  1. kusuluhisha migogoro katika ukoo
  2. kupeleka watoto shule
  3. kusimania usafi shuleni
  4. kusimamia taaluma shuleni.
Choose Answer


2. Mojawapo ya mila na desturi mbaya za Watanzania hapo zamani ni pamoja na

  1. jando na unyago
  2. utii wa sheria
  3. kuolewa na kuoa katika umri mdogo
  4. ulipaji wa mahari
Choose Answer


3. Mojawapo ya mila na desturi za zamani ni

  1. kuogopa kazi za shambani
  2. kuwafunza watoto maadili mema
  3. kuchoma misitu ovyo
  4. kuchafua nyumba na mazingira
Choose Answer


4. Nasaba ni hali ya kuwa na...........

  1. uhusiano wa karibu sana
  2. watoto wa karibu sana
  3. uhusiano baina ya watu katika familia
  4. urafiki mzuri baina ya watu
Choose Answer


5. Lipi kati ya mambo haya halijengi ushirikiano?

  1. Sherehe za Pamoja
  2. Kusaidiana katika shida
  3. Kufanya biashara na shughuli za uchumi
  4. Kufanya kazi kibinafsi
Choose Answer


6. Vifuatavyo vinavunja ushirikiano isipokuwa?

  1. Ubinafsi
  2. Chuki
  3. Uchapa kazi
  4. Udokozi
Choose Answer


7. zifuatazo ni sababu za kudumisha utamaduni wetu isipokuwa?

  1. Unaleta umoja
  2. Unaleta ushiriano
  3. Unajenga undugu
  4. Unatenganisha watu
Choose Answer


8. Upi sio utamaduni wa Watanzania?

  1. Kucheza nyimbo za kitamaduni
  2. Kupika vyakula vya kitamaduni
  3. Kucheza muziki kwenye kilabu
  4. Kutoa elimu ya unyago
Choose Answer


9. Kipi kati ya hizi hakileti ushirikiano baina ya watu?

  1. Matendo ya misiba
  2. Sherehe za mavuno
  3. Ngoma
  4. Vita
Choose Answer


10. Mafunzo ya nadharia na vitendo yanayohusu malezi kwa wavulana na wasichana uitwa?

  1. Jando
  2. Desturi
  3. Unyago
  4. utamaduni
Choose Answer


Andika ndiyo kama sentensi ni sahihi na hapana kama sentensi si sahihi.

  1. Watu hushirikiana katika matendo ya misiba, harusi, sherehe za mavuno na ngoma……….
  2. View Answer


  3. Kuzungumza lugha ya asili hukuza utamaduni wetu……………
  4. View Answer


  5. Ni lazima ushirikiane na kila mtu katika jamii……………
  6. View Answer


  7. Uhusiano ni matokeo ya ushirikiano……………
  8. View Answer


  9. Siyo lazima watu washirikiane kwa kila tukio linalotokea katika jamii……………..
View Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256