MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

MAARIFA YA JAMII DARASA LA NNE

MATUKIO YA KIHISTORIA

Chagua Jibu Sahihi

1. Kumbukumbu ya kifo cha raisi wa kwanza wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hufanyika kila mwaka siku ya tarehe

  1. 12 Disemba
  2. 9 Disemba
  3. 14 Octoba
  4. 7 Aprili
Choose Answer


2. Kati ya hatua zifuatazo, hatua ya mwisho ya mabadiliko ya binadamu kwa mujibu wa nadharia ya kisayansi ilikuwa

  1. sokwe
  2. Homo habilisi
  3. Zinjanthropasi
  4. Homo sapiensi
Choose Answer



3. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar huadhimishwa kila mwaka tarehe .........

  1. 12 Januari
  2. 26 Aprili
  3. 01 Mei
  4. 07 Julai
Choose Answer


4.Hatua au zama iliyoonesha maendeleo ya kijamii ya mwanadamu inaitwa .........

  1. Zama za mawe za kale
  2. Zama za mawe za kati
  3. Zama za mawe za mwisho
  4. Ubepari
Choose Answer


5. kifaa kinachotunza kazi zako za mazoezi shuleni huitwa?

  1. Mfuko wa shule
  2. Shajara
  3. Dawati
  4. Kabati
Choose Answer


6. Upi sio umuhimu wa kutunza kumbukumbu?

  1. Inasaidia kujea yaliyopita
  2. Ina hifadhi hazina
  3. Inatunza heshima
  4. Inatukumbusha yajayo
Choose Answer


7. Njia ya kutunza kumbukumbu kwa kuadisia matukio ya zamani kutoka kizazi kimoja hadi kingine huitwa?

  1. Hamasa
  2. Kurekodi
  3. Simulizi
  4. Kunena
Choose Answer


8. Sehemu ambapo kumbukumbu mbalimbali za historia huifadhiwa huitwa?

  1. Maktaba
  2. Makumbusho
  3. Kabati
  4. Historia
Choose Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256