MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

SAYANSI DARASA LA TANO

MAWASILIANO

Chagua Jibu sahihi

  1. Ipi sio kazi kuu za tarakilishi
  1. Kuingiza data
  2. Kupokea data
  3. Kuchakata data
  4. Kufundisha
Choose Answer

  1. Kifaa cha kuhifadhi na kulinda vifaa vyote vya kieletroniki  huitwa?
  1. Kibodi
  2. Kichakato
  3. Monita
  4. Vitumi ingiza
Choose Answer

  1. Sehemu za tarakilishi zisizoshikika huitwa;
  1. Maunzi
  2. Programu
  3. Vitumi toleo
  4. Program endeshi
Choose Answer

ol start="4" style="margin:0pt; padding-left:0pt;" type="1">
  • Seti ya maelekezo ambayo hutumika katika tarakilishi ili kufanya shughuli mbalimbali huitwa
    1. Program
    2. Progamu endeshi
    3. Program tumizi
    4. Tarakilishi
    Choose Answer

    1. Ipi sio tahadhari ya kufuata unapotumia tarakilishi
    1. Dhibiti umeme hili kulinda tarakilishi
    2. Fuata taratibu wakati wa kuzima tarakilishi
    3. Kufungua program nyingi kwa wakati mmoja
    4. Kufuta vumbi kwa kitambaa kikavu
    Choose Answer

    1. Program ambayo hutumika kwa ajili ya uchapaji wa nyaraka za aina mbalimbali kama barua, ripoti na majarida huitwa?
    1. Program jedwali
    2. Program tendaji
    3. Program andishi
    4. Program teule
    Choose Answer

    1. Tarakilishi utumika katika maeneo haya isipokuwa
    1. Vyuoni
    2. Benki
    3. Ofisini
    4. Yote hapo juu
    Choose Answer

    1. Sehemu ambayo husaidia kuona ukurasa wa waraka na kufanya marekebisho katika mtindo au fonti huitwa;
    1. Faili
    2. Nyumbani
    3. Menu
    4. Sanifu
    Choose Answer

    1. Kazi ya pau la mwoneko ni
    1. Kuboresha kazi za uandishi
    2. Kupanga mwonekano wa ukurasa
    3. Kuona nyaraka katika sura mbalimbali
    4. Kusahihisha makosa katika waraka
    Choose Answer

    1. Uwakilishaji wa sauti kwa herufi kufuatana na mwendelezo wa maneno uliokubalika huitwa?
    1. Sarufi
    2. Tahajia
    3. Umbiza
    4. kitumi

    Download Learning
    Hub App

    For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256