MTIHANI WA KUJIPIMA WA MADA

MAARIFA YA JAMII DARASA LA NNE

UZALISHAJI MALI

Chagua Jibu sahihi

  1. Shughuli ya uzalishaji mali sehemu zenye nyasi na tambarare ni?
  1. Ukulima
  2. Ufugaji
  3. Uwindaji
  4. Umwagiliaji
Choose Answer


  1. Jamii ya wamasai ujishughulisha na shughuli gani?
  1. Ukulima
  2. Uchimaji madini
  3. Ufugaji  wa wanyama
  4. Ufugaji nyuki
Choose Answer


  1. Sehemu zenye mvua za kutosha watu wengi huwa ni?
  1. Wafugaji
  2. Wakulima
  3. Wajasiriamali
  4. Wafanyabiashara
Choose Answer


  1. Ni fursa gani ya uzalishaji mali inapatikana sehemu zenye misitu?
  1. Uchimbaji madini
  2. Ukataji mbao
  3. Ufugaji
  4. Ukulima
Choose Answer


  1. Sehemu zenye ziwa mara nyingi watu hujishugulisha na kazi gani?
  1. Ukulima
  2. Usafirishaji
  3. Uogeleaji
  4. Uvuvi
Choose Answer


  1. Moja wapo ya faida ya viwanda ni
  1. Kutoa ajira
  2. Kukuza uchumi kwa kuuza mali nje ya nchi
  3. Kuongeza dhamani katika rasilimali
  4. A, B na C ni sahihi
Choose Answer


  1. Kati ya hizi sio zao la kibiashara?
  1. Pareto
  2. Kahawa
  3. Mahindi
  4. Mkonge
Choose Answer


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256