STAGE |
TIME |
TEACHER'S ACTIVITIES |
STUDENT'S ACTIVITIES |
ASSESSMENT |
INTRODUCTION |
5 |
Mwalimu asome habari iliyoandaliwa kwa ufasaha. |
Wanafunzi wasikilize kwa habari inayosomwa |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
PRESENTATION |
20 |
awape wanafunzi maswali ya ufahamu kutokana na habari waliyoisikiliza |
Wanafunzi wajibu maswali hayo kwa kusema au kuandika |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
REFLECTION |
5 |
Wape wanafunzi mazoezi ya kufupisha kwa mdomo habari waliyoisikiliza |
Wanafunzi wafanya mazoezi ya kuifupisha kwa mdomo habari waliyoisikiliza. |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
REINFORCEMENT |
5 |
Wape wanafunzi mazoezi ya kufupisha kwa mdomo habari waliyoisikiliza |
Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
CONCLUSION |
5 |
Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi |
Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu |