STAGE |
TIME |
TEACHER'S ACTIVITIES |
STUDENT'S ACTIVITIES |
ASSESSMENT |
INTRODUCTION |
5 |
kutumia matini zenye insha za hoja Ongoza wanafunzi kubaini taratibu za uandishi wa insha za hoja |
wanafunzi kubaini taratibu za uandishi wa insha za hoja |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
PRESENTATION |
20 |
Ongoza wanafunzi kusoma mifano ya insha |
Wanafunzi kusoma mifano ya insha kwa sauti |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
REFLECTION |
5 |
Ongoza Wanafunzi kivikundi washiriki katika majadiliano kubaini taratibu za uandishi wa insha za hoja |
Wanafunzi kivikundi washiriki katika majadiliano kubaini taratibu za uandishi wa insha za hoja |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
REINFORCEMENT |
5 |
Ongoza Wanafunzi kivikundi washiriki katika majadiliano kubaini taratibu za uandishi wa insha za hoja |
Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
CONCLUSION |
5 |
Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi |
Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu |