STAGE |
TIME |
TEACHER'S ACTIVITIES |
STUDENT'S ACTIVITIES |
ASSESSMENT |
INTRODUCTION |
5 |
Wasomee kwa ufasaha matini/ Makala kulingana na kiwango cha darasa. |
wanafunzi wasome makala |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
PRESENTATION |
20 |
Wanafunzi wasikilize kwa makini. |
Wanafunzi wasikilize kwa makini. |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
REFLECTION |
5 |
Waulize wanafunzi maswali ya kufikirisha, kumbukumbu na ya uhakiki kutokana na habari waliyoisikiliza. |
Wanafunzi wajadili kisha wajibu maswali hayo kwa mdomo na kwa kuandika. |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
REINFORCEMENT |
5 |
Waulize wanafunzi maswali ya kufikirisha, kumbukumbu na ya uhakiki kutokana na habari waliyoisikiliza. |
Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
CONCLUSION |
5 |
Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi |
Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu |