STAGE |
TIME |
TEACHER'S ACTIVITIES |
STUDENT'S ACTIVITIES |
ASSESSMENT |
INTRODUCTION |
5 |
Waongoze wanafunzi wasimulie hadithi mbalimbali kutokana na uzoefu wao au kutoka kwenye matini alizosoma. Hadithi hizo zijumuishe masuala yenye Elimu ya UKIMWI, Elimu ya Mazingira, Athari za ajira kwa |
wanafunzi wasimulie hadithi mbalimbali kutokana na uzoefu wao au kutoka kwenye matini alizosoma. Hadithi hizo zijumuishe masuala yenye Elimu ya UKIMWI, Elimu ya Mazingira, Athari za ajira kwa watoto. |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
PRESENTATION |
20 |
Ongoza Wanafunzi wajadili kufaa au kutokufaa kwa habari hiyo. |
Wanafunzi wajadili kufaa au kutokufaa kwa habari hiyo. |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
REFLECTION |
5 |
Ongoza Wanafunzi wajadili kufaa au kutofaa kwa maadili ya hadhithi hizo |
Kwa kila usimulizi wanafunzi wabaini na kusahihisha makossa ya matamshi, kiimbo na mbinu za utambaji. |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
REINFORCEMENT |
5 |
Ongoza Wanafunzi wajadili kufaa au kutofaa kwa maadili ya hadhithi hizo |
Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
CONCLUSION |
5 |
Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi |
Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |