HELLO YOUR HERE TO VIEW LESSON PLAN CONTENT OF HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI KIDATO CHA II

TAREHE . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . MUDA . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

1. TAARIFA ZA DARASA

IDADI YA WANAFUNZI
WALIOSAJILIWA WALIOHUDHURIA
WASICHANA WAVULANA JUMLA WASICHANA WAVULANA JUMLA
.

  1. UMAHIRI MKUU

1.0 Kumudu historia ya Tanzania na maadili wakati wa ukoloni, 1890-1960

  1. UMAHIRI MAHUSUSI

1.1 Kutumia maarifa na ujuzi wa chimbuko na ukuaji wa mfumo wa ukoloni kuelewa uhusiano wa kihistoria kati ya Tanzania na mataifa yaliyoitawala

  1. SHUGHULI KUU

(a) Kuchambua chimbuko la ukoloni

  1. SHUGHULI MAHUSUSI

Chimbuko la ukoloni katika Tanzania

  1. ZANA ZA UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI

Matini kuhusu chimbuko la mfumo wa ukoloni Picha mbalimbali kuonesha wataala na shughuli za wakoloni

7. REJEA: TIE(2023) Historia Ya Tanzania na Maadili Kitabu Cha Mwanafunzi, Kidato Cha Pili. Dar es salaam

MCHAKATO WA UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI

Hatua

Muda

Shughuli za ufundishaji

Shughuli za ujifunzaji

Vigezo vya upimaji

Utangulizi

10

Eleza kwa kifupi hali ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kabla ya ukoloni. Onyesha ramani ya Afrika ya karne ya 19.

Sikiliza maelezo, tambua maeneo

yaliyokuwa na mataifa mbalimbali, na toa maoni kuhusu hali ya maisha ya wananchi kabla ya ukoloni.

Chimbuko la ukoloni limechambuliwa

kwa kina

Kuendeleza Ujenzi wa umahiri

30

Toa mifano ya sababu za ukoloni (uchumi, kisiasa, kijamii, kidini).

Jadili katika makundi, andika sababu kuu na ndogo, toa mifano ya matukio yanayounga mkono hoja.

Chimbuko la ukoloni limechambuliwa

kwa kina

Kubuni

20

Wahimize wanafunzi kuunda ramani ya msururu wa sababu za ukoloni.

Tumia ramani hiyo kuonyesha jinsi kila sababu ilivyochangia kuanzishwa kwa ukoloni.

Chimbuko la ukoloni limechambuliwa

kwa kina

Tathimini

20

Maswali na majibu, kadi mwambato, kazi
mradi, kazi za makundi, mitihani, mazoezi

Kujibu maswali, kufanya kazi za ziada, kushiriki katika mjadala, jibu maswali ya kadi mwambato

Chimbuko la ukoloni limechambuliwa

kwa kina

MAONI:

--MAONI KUANDIKWA HAPA--

TAREHE . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . MUDA . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

1. TAARIFA ZA DARASA

IDADI YA WANAFUNZI
WALIOSAJILIWA WALIOHUDHURIA
WASICHANA WAVULANA JUMLA WASICHANA WAVULANA JUMLA
.
  1. UMAHIRI MKUU

1.0 Kumudu historia ya Tanzania na maadili wakati wa ukoloni, 1890-1960

  1. UMAHIRI MAHUSUSI

1.1 Kutumia maarifa na ujuzi wa chimbuko na ukuaji wa mfumo wa ukoloni kuelewa uhusiano wa kihistoria kati ya Tanzania na mataifa yaliyoitawala

  1. SHUGHULI KUU

Mataifa yaliyoitawala Tanzania

  1. SHUGHULI MAHUSUSI
  2. ZANA ZA UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI

Matini kuhusu chimbuko la mfumo wa ukoloni Picha mbalimbali kuonesha wataala na shughuli za wakoloni

7. REJEA: TIE(2023) Historia Ya Tanzania na Maadili Kitabu Cha Mwanafunzi, Kidato Cha Pili. Dar es salaam

MCHAKATO WA UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI

Hatua

Muda

Shughuli za ufundishaji

Shughuli za ujifunzaji

Vigezo vya upimaji

Utangulizi

10

Toa maelezo ya jumla kuhusu ukoloni: Ujerumani na Uingereza.

Sikiliza maelezo, toa mawazo ya awali kuhusu ni kwa nini mataifa mbalimbali yalichukua maeneo tofau

Chimbuko la ukoloni limechambuliwa

kwa kina

Kuendeleza Ujenzi wa umahiri

30

Eleza taratibu za ukoloni wa Kijerumani na Kiingereza, ikiwemo utawala na mgawanyo wa ardhi.

Andika tofauti za utawala wa Kijerumani na Kiingereza, jadili katika makundi.

Chimbuko la ukoloni limechambuliwa

kwa kina

Kubuni

20

Wahimize wanafunzi kutengeneza jedwali la kulinganisha utawala wa mataifa hayo.

: Unda jedwali linaloonyesha tofauti za kiutawala, kiuchumi na kitamaduni kati ya Ujerumani na Uingereza.

Chimbuko la ukoloni limechambuliwa

kwa kina

Tathmini

20

Maswali na majibu, kadi mwambato, kazi
mradi, kazi za makundi, mitihani, mazoezi

Kujibu maswali, kufanya kazi za ziada, kushiriki katika mjadala, jibu maswali ya kadi mwambato

Chimbuko la ukoloni limechambuliwa

kwa kina

MAONI:

--MAONI KUANDIKWA HAPA--

Fill The Form Below To Download LESSON PLAN Of HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI KIDATO CHA II For T.Sh. 4,000/=

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256