TAREHE . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . MUDA . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
1. TAARIFA ZA DARASA
| IDADI YA WANAFUNZI | |||||
| WALIOSAJILIWA | WALIOHUDHURIA | ||||
| WASICHANA | WAVULANA | JUMLA | WASICHANA | WAVULANA | JUMLA |
| . | |||||
Kulinda Historia ya Tanzania, urithi na maadili ya Taifa
Kumudu dhana ya Historia ya Tanzania, urithi na maadili
(a) Kueleza dhana ya Historia ya Tanzania, urithi na maadili (maana, umuhimu)
Maana Rahisi ya Historia
Matini ya Historia ya Tanzania na Maadili - Picha zinazoonesha historia ya Tanzania maadili na urithi- Filamu zinazoonesha vitendo vya kimaadili
7. REJEA: TIE(2023) Historia Ya Tanzania na Maadili Kitabu Cha Mwanafunzi, Kidato Cha Kwanza. Dar es salaam
|
Hatua |
Vipindi |
Shughuli Za Ufundishaji |
Shughuli Za Ufunzaji |
Vigezo Vya Upimaji |
|
Utangulizi |
5 |
Anawasalimu wanafunzi na kuwauliza: "Nani anaweza kutuambia alichokifanya jana baada ya shule?" "Nani anaweza kukumbuka alivyokuwa mdogo sana, kabla hajaanika shule?" |
Wanaitikia salamu, wanashiriki matukio yao ya jana, na wengine wanajaribu kukumbuka mambo ya utotoni. |
Dhana ya Historia ya Tanzania, urithi na maadili imeelezwa |
|
Kuendeleza Ujenzi wa umahiri |
15 |
Anaeleza kuwa historia ni hadithi au kumbukumbu ya matukio yaliyopita. Anatoa mifano rahisi ya historia ya mtu binafsi |
Wanasikiliza kwa makini, wanatoa mifano yao ya matukio yaliyopita katika maisha yao au familia zao, na kuandika maana rahisi ya 'historia' katika daftari zao. |
Dhana ya Historia ya Tanzania, urithi na maadili imeelezwa |
|
Kubuni |
10 |
Anawaomba wanafunzi wachore picha ya tukio muhimu lililowahi kuwatokea katika maisha yao. |
Wanachora picha zao na kueleza kwa kifupi kile kinachoonyeshwa kwenye picha. |
Dhana ya Historia ya Tanzania, urithi na maadili imeelezwa |
|
Tathimini |
10 |
Maswali na majibu, kadi mwambato, kazi |
Kujibu maswali, kufanya kazi za ziada, kushiriki katika mjadala, jibu maswali ya kadi mwambato |
Dhana ya Historia ya Tanzania, urithi na maadili imeelezwa |
MAONI:
--MAONI KUANDIKWA HAPA-- |
TAREHE . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . MUDA . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
1. TAARIFA ZA DARASA
| IDADI YA WANAFUNZI | |||||
| WALIOSAJILIWA | WALIOHUDHURIA | ||||
| WASICHANA | WAVULANA | JUMLA | WASICHANA | WAVULANA | JUMLA |
| . | |||||
Kulinda Historia ya Tanzania, urithi na maadili ya Taifa
Kumudu dhana ya Historia ya Tanzania, urithi na maadili
(a) Kueleza dhana ya Historia ya Tanzania, urithi na maadili (maana, umuhimu)
Umuhimu wa Kujifunza Historia ya Tanzania
Matini ya Historia ya Tanzania na Maadili - Picha zinazoonesha historia ya Tanzania maadili na urithi- Filamu zinazoonesha vitendo vya kimaadili
7. REJEA: TIE(2023) Historia Ya Tanzania na Maadili Kitabu Cha Mwanafunzi, Kidato Cha Kwanza. Dar es salaam
|
Hatua |
Vipindi |
Shughuli Za Ufundishaji |
Shughuli Za Ufunzaji |
Vigezo Vya Upimaji |
|
Utangulizi |
5 |
Anawauliza wanafunzi: "Kwa nini tunapaswa kujua matukio yaliyowahi kutokea nchini mwetu miaka mingi iliyopita?" |
Wanajibu maswali, wakijaribu kutoa mawazo yao kuhusu umuhimu wa kujua historia ya nchi. |
Dhana ya Historia ya Tanzania, urithi na maadili imeelezwa |
|
Kuendeleza Ujenzi wa umahiri |
15 |
Anaeleza umuhimu wa kujifunza historia ya Tanzania: inatusaidia kujua nchi yetu ilivyojengwa, tunatoka wapi, na jinsi babu zetu walivyoishi na kufanya kazi. Inatusaidia kujivunia nchi yetu na kujifunza kutokana na makosa ya zamani. |
Wanasikiliza, wanataja umuhimu wa kujifunza historia ya nchi, na kuandika faida mbili au tatu katika daftari zao. |
Dhana ya Historia ya Tanzania, urithi na maadili imeelezwa |
|
Kubuni |
10 |
Anawaomba wanafunzi waigize kuwa wao ni mashujaa wa zamani na kueleza kile walichokifanya (kwa kifupi na urahisi). |
Wanashiriki katika kuigiza na kueleza. |