STD IV SAYANSI ONLINE NECTA EXAM REVIEW FOR YEAR 2012

SAYANSI 2012

SEHEMU A

Chagua jibu sahihi na andika herufi yake kwenye nafasiya kujibia

1. Baadhi ya ajali na maafa yatokanayo na nguvu za asili ni . . . . . . . . .

  1. mvua kubwa, umeme, kimbunga
  2. radi, kimbunga, mvua kubwa
  3. umeme, madaraja, kimbunga
  4. mitambo, mafuriko, miti
Chagua Jibu


2. Wanyama wanaokula nyama wana . . . . . . . . . 

  1. pembe ndefu na kali
  2. mikia mipana na mifupi
  3. meno makali na kucha kali
  4. pembe kali na kucha kali
Chagua Jibu


3. Mbu wanaosambaza vimelea vya malaria huuma ... ... ...

  1. usiku tu
  2. mchana tu
  3. usiku na mchana
  4. usiku wa manane
Chagua Jibu


4. Zifuatazo ni njia za kumsaidia mtu aliyezirai isipokuwa ... ... ...

  1. Mweke mgonjwa katika sehemu salama yenye hewa ya kutosha.
  2. Inua miguu ya mgonjwa kuruhusu damu iende kichwani.
  3. Mvue viatu na kulegeza mkanda wake
  4. Kama hapumui umwagie maji ya baridi mwili mzima.
Chagua Jibu


5. Maji huganda katika nyuzijoto  . . . . . . . . . 

  1. 1000 C
  2. 360C
  3.  0 0 C
  4. 36.90 C
Chagua Jibu


6. Milango ya fahamu ina . . . . . . . . . katika uchunguzi.

  1. udhaifu
  2. uhakika
  3. ubunifu
  4. tofauti
Chagua Jibu


7. Mikono (mishikio) ya pasi na vikaangio hutengenezwa kwa mbao kwa sababu

  1. mbao hupendezesha pasi na vikaango
  2. mbao ni kipitisho hafifu cha joto
  3. mbao huharibika haraka
  4. mbao ni kipitisho kizuri cha joto
Chagua Jibu


8. Kipi kati ya vifuatavyo ni chanzo kisicho cha asili cha mwanga? . . . . . . . . . 

  1. Jua
  2. Radi
  3. Nyota
  4. Moto
Chagua Jibu


9. Ni aina gani ya nguo haitokani na viumbe hai? Ni nguo za .... .....

  1. nailoni
  2. silki
  3. pamba
  4. sufu
Chagua Jibu


10. Rangi ya kijani katika mmea huitwa

  1. usanisi
  2. umbijani
  3. usanisi nuru
  4. majani
Chagua Jibu


SEHEMU B

Jaza nafasi zilizoachwa wazi

11. Hewa iliyo katika mwendo huitwa . . . . . . . . . 

Fungua Jibu


12. Joto kutoka kwenye moto hufikia ngozi zetu kwa njiaya . . . . . . . . . 

Fungua Jibu


13. Taswira ni matokeo ya kioo
>. . . . . . . . .
  kinasambazwa na konokono kutokana na kukojoa na kujisaidia haja kubwa kwenye vyanzo vya maji.

Fungua Jibu


15. Maji katika hali ya yabisi huitwa . . . . . . . . . 

Fungua Jibu


16. N cha za sumaku zinazotofautiana zikikaribiana . . . . . . . . . 

Fungua Jibu


17. Mwanga unapotoka media moja kwendz nyingine nini hutokea? . . . . . . . . . 

Fungua Jibu


SEHEMU C

Andika Ndiyo au Hapana

18.  Hewa ya kaboni dayoksaidi inasaidia moto kuwaka . . . . . . . . . 

Fungua Jibu


19.  Chuma kinapopashwa moto hutanuka . . . . . . . . . 

Fungua Jibu


20.  Chembe chembe hai nyeupe husaidia kulinda mwili dhidi ya magonjwa . . . . . . . . . 

Fungua Jibu


SEHEMU D

Oanisha fungu 'A' na fungu B kwa kuweka herufiyajibu sahihi

FUNGU A

FUNGU B

21. Sepali

22. Fagio

23. Minyoo

24. Mwangwi

25. Kapani

  1. Kitu kinachoruhusu kiasi kidogo cha mwanga kupenya
  2. Sehemu ya ua yenye rangi, huvutia wadudu na ndege
  3. Mashine rahisi daraja la tatu
  4. Sauti iliyosharabiwa
  5. Sehemu ya ua yenye rangi ya kijani, hulinda ua
  6. Mashine rahisi daraja la pili
  7. Kula mboga na matunda yasiyooshwa.
  8. Sauti iliyoakisiwa
  9. Kitu kinachoruhusu mwanga kupenya
  10. Hupima uzito
  11. Kipima pembe
Fungua Jibu


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256