HISABATI 2011
1. 4233
+ 876
Fungua Jibu
2. 400
- 336
Fungua Jibu
3. 214
x 14
Fungua Jibu
4.
Fungua Jibu
5. Mchoro huu wa saa unatumia namba za Kirumi. Unaonesha saa ngapi kwa namba za kawaida?
Fungua Jibu
6. Andika 21 kwa tarakimu za Kirumi.
Fungua Jibu
7. Ni sehemu gani ya kitu kizima imetiwa kivuli?
Fungua Jibu
8.
Fungua Jibu
9. Tafuta jina la umbo hill:
Fungua Jibu
10. Tafuta mzingo wa mraba ufuatao.
Fungua Jibu
11. Tafuta eneo la mstatili ufuatao:
Fungua Jibu
12. Umbo la pembe nne lina vipande vingapi vya mistari?
Fungua Jibu
13. Badili meta 14 kuwa milimita.
Fungua Jibu
14. Urefu wa Doto ni meta 1. Nini urefu wake kwa kipimo cha sentimeta?
Fungua Jibu
15. m 52 + m 23 + m 18 =
Fungua Jibu
16. Kurwa alinipa kilogramu 2 za sukari na Asha alinipa gramu 2500 za sukari. Je, jumla nilipata gramu ngapi za sukari?
Fungua Jibu
17. Mwanafunzi mmoja huhitaji gramu 200 za mchele kwa mlo mmoja. Wanafunzi 40 watahitaji kilogramu ngapi?
Fungua Jibu
18. Ndoo moja yenye ujazo wa lita 20 za maji ilimiminwa kwenye chupa zenye ujazo wa lita mbili kila moja. Je, zilipatikana chupa ngapi?
Fungua Jibu
19. Mtoto hutumia nusu lita ya maziwa kwa siku. Je kwa siku nne atatumia maziwa kiasi gani?
Fungua Jibu
20.
Fungua Jibu
21.
Fungua Jibu
22. Grafu ifuatayo inaonesha mauzo ya sukari katika duka la shule.
Mauzo ya Jumatatu yamezidi mauzo ya Jumatano kwa kilogramu ngapi?
Fungua Jibu
23. Sh. 8,240 St. 20 — 5,150 St. 20 =
Fungua Jibu
24.
Fungua Jibu
25. Baba alinunua vitu vifuatavyo: Miche 2 ya sabuni @ Sh. 600; madaftari 10@ Sh.
280; viberiti 6 @ Sh. 50 na penseli 5 @ Sh. 100. Jumla alitumia shilingi ngapi? Fungua Jibu