HISABATI 2010
1. 9146
+ 853
Fungua Jibu
2. 1874
- 735
Fungua Jibu
3. 155
x 90
Fungua Jibu
4. Andika kwa tarakimu: Elfu saba na mia tatu na nne.
Fungua Jibu
5. Andika XXIV kwa tarakimu za kawaida.
Fungua Jibu
6. Andika namba inayokosekana katika mfululizo ufuatao:
XLVII, XLVIII , , L.
Fungua Jibu
7. Ni sehemu gani ya kitu kizima imetiwa kivuli katika umbo lifuatalo?
Fungua Jibu
8.
Fungua Jibu
8.
Fungua Jibu
10. Tafuta mzingo wa mraba ufuatao:
Fungua Jibu
11. Tafuta eneo la umbo lifuatalo:
Fungua Jibu
12. Katika mchoro ufuatao kuna mistari mingapi?
Fungua Jibu
13. Mraba una mita za eneo 121. Tafuta urefu wa upande mmoja.
Fungua Jibu
14. sm25 + sm 32 + sm 28
Fungua Jibu
15. Bakari ana kipande cha ubao chenye urefu wa sm 40. Je, kipande hicho kina urefu wa milimeta ngapi?
Fungua Jibu
16. Koba hutembea meta 2500 kwenda shuleni. lwapo atakwenda na kurudi je, atakuwa ametembea jumla ya kilometa ngapi?
Fungua Jibu
17. Badili gramu 2000 kuwa kilogramu
Fungua Jibu
18. Kipi ni kizito zaidi, kilogramu moja ya sukari au kilogramu moja ya manyoya ya kuku?
Fungua Jibu
19. Doris alikuwa na lita 10 za maji na alitaka kuzijaza katika chupa za nusu lita. Je, alijaza chupa ngapi za nusu lita?
Fungua Jibu
20. Saa dk
3 46
+ 2 25
418Fungua Jibu
21. Andika majira ya saa yanayoneshwa 23. katika uso wa saa ufuatao:
Fungua Jibu
22. Grafu kwa mihimili ifuatayo inaonesha michezo inayochezwa na wanafunzi wa shule ya msingi ya Gezaulole. Ni mchezo gani ambao haupendwi na wanafunzi wengi?
Fungua Jibu
23.
Fungua Jibu
24.
Fungua Jibu
25. Amina alipata shilingi ngapi kwa kuuza maembe 20@ sh. 100, machungwa 50@ Sh. 100 na mapera 60 @ sh. 50?
Fungua Jibu