STD IV HISABATI ONLINE NECTA EXAM REVIEW FOR YEAR 2012

HISABATI 2012

1.   9237
  +    662


Fungua Jibu


2.  253
   x  72


Fungua Jibu


3.  4040
     3592


Fungua Jibu


4. 


Fungua Jibu


5. Andika 45 kwa tarakimu za Kirumi.

Fungua Jibu


6. Kokotoa na andika jawabu lako kwa tarakimu za kawaida. L - XLII

Fungua Jibu


7. 


Fungua Jibu


8. 

Fungua Jibu


9, Kuna mistari mingapi katika umbo hili?


Fungua Jibu


10.  imageTafuta mzingo wa umbo lifuatalo:


Fungua Jibu


11.  Tafuta eneo Ia mraba ufuatao:


Fungua Jibu


12.  Mzingo wa mraba ni sm 36. Tafuta urefu wa upande mmoja.

Fungua Jibu


13.  Badili kilometa 3 kuwa meta.

Fungua Jibu


14.  sm3 + sm5 + sm 2 =

Fungua Jibu


15.  Mita moja ni sawa na sentimeta ngapi?

Fungua Jibu


16.  Kuna gramu ngapi katika kiligramu   ?

Fungua Jibu


17.  Ng'ombe hula nyasi kilogram kwa siku. Je, kwa Wiki moja atahitaji nyasi kilogramu ngapi?image

Fungua Jibu


18.  Kuna robo lita ngapi katika lita mbili na nusu?

Fungua Jibu


19.  Bakari alinunua lita  za maziwa na Anna akanunua nusu lita ya maziwa. Kwa pamoja walinunua maziwa lita ngapi?

Fungua Jibu


20.


Fungua Jibu


21.  Soma na uandike wakati unaooneshwa katika uso wa saa ufuatao:


Fungua Jibu


22.  Grafu ifuatayo inaonesha idadi ya watoro katika shule ya Mtulinga kwa Wiki moja.

Iwapo shule ina wanafunzi 50 je, idadi ya watoro siku ya Alhamisi ilikuwa kiasi gani?

Fungua Jibu


23. 


Fungua Jibu


24.

Fungua Jibu


25. Muuza duka aliuza baiskeli moja kwa shilingi 35,000/=, chupa 10 za mafuta ya kupikia kwa shilingi 2,000/= kwa kila chupa na viatu pea moja kwa shilingi image Je, alipata fedha kiasi gani?

Fungua Jibu


Download Learning
Hub App

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256