MTIHANI WA KISWAHILI DARASA LA NNE 2015
SEHEMU A
Sikiliza sentensi zinazomwa kisha uziandike.
1. . . . . . . . . . . . . . .
2. . . . . . . . . . . . . . .
3. . . . . . . . . . . . . .
4. . . . . . . . . . . . . . .
5. . . . . . . . . . . . . . .
Fungua Jibu SEHEMU B
Jibu swali la 6 - 10 kwa kuchagua herufi ya jibu sahihi na kuiandika katika kisanduku pembeni ya kila swali.
6. Mama yangu .............. chakula kizuri jana jioni
anapika atapika alipika hupika Chagua Jibu
- -
A
B
C
D
7. Siku ya pill baada ya leo huitwa ..........
juzi kesho kutwa mtondogoo mtondo Chagua Jibu
- -
A
B
C
D
8. Wingi wa neno ufundi ni upi kati ya maneno yafuatayo
Mafundi fundi vifundi ufundi Chagua Jibu
- -
A
B
C
D
9. Ni neno lipi kati ya maneno yafuatayo lenye maana inayojumuisha maneno; upinde, bunduki, mkuki na mshale?
silaha vipuri malighafi samani Chagua Jibu
- -
A
B
C
D
10. . Mwakani........... darasa la tano . Ni neno lipi linakamilisha sentensi hiyo kwa usahihi
niliingia ninaingia nitaingia nimeingia Chagua Jibu
- -
A
B
C
D
SEHEMU C
Jibu swali la 11 - 15 kwa kukamilisha vitendawili, methali na nahau zifuatazo
11. . . . . . . . . . . . . . . si mkulima
Fungua Jibu 12. Biashara . . . . . . . . . . . . . .
Fungua Jibu 13. . . . . . . . . . . . . . . huumiza matumbo
Fungua Jibu 14. Mpiga ngumi ukuta . . . . . . . . . . . . . .
Fungua Jibu 15. Dua la mnyone . . . . . . . . . . . . . .
Fungua Jibu 16. Nahau "Kumpa heko" maana yake ni ipi? . . . . . . . . . . . . . .
Fungua Jibu 17. Kitendawili kisemacho "Tajiri wa rangi" jibu lake ni lipi? . . . . . . . . . . . . . .
Fungua Jibu 18. Nahau "Kuzunguka mbuyu" maana yake nini? . . . . . . . . . . . . . .
Fungua Jibu 19. Kitendawili kisemacho "rafiki yangu ni muharibifu lakini bado namuhitaji" maana yake nini? . . . . . . . . . . . . . .
Fungua Jibu 20. "Nyumba yangu haina mlango" Jibu la kitendawili hiki ni. . . . . . . . . . . . . .
Fungua Jibu SEHEMU D
Soma habari ifuatayo kisha jibu swali la 21 -25.
Mzee magali anaishi katika kijiji cha Mailisita. Mke wa mzee magali anaitwa Roza, ni mwanamke mkarimu sang familia hiyo hujushughulisha na kilimo cha mboga na matunda. Kila mwaka mzee magali huvuna mboga nyingi sana pamoja na matunda. Siku ya ijumaa hupeleka sokoni mchicha, nyanya, biringana, bamia na nyanya chungu. Aidha, siku ya jumamosi hupeleka pia parachichi, maembe, matango na machungwa.
Mzee magali anawasomesha watoto wake kwa kutumia pesa anazopata kutokana na kuuza mazao. kutokana na faida aliyoipata kila mwaka alinunua trekta na mashine ya kusaga. Trekta hiyo inainsaidia katika kilimo. Pia humpatia pesa kwa kuwa hutumia kuwalimia wanakijiji wenzake.
Maswali
21. Mzee magali anaishi katika kijiji gani? . . . . . . . . . . . . . .
Fungua Jibu 22. Mke wa mzee magali anaitwa nani? . . . . . . . . . . . . . .
Fungua Jibu 23. Familia ya mzee magali hulima nini?. . . . . . . . . . . . . .
Fungua Jibu 24. Siku ya jumamosi Mzee Magali hupeleka nini sokoni?. . . . . . . . . . . . . .
Fungua Jibu 25. Mwaka jana Mzee magali alinunua vitu gani? . . . . . . . . . . . . . .
Fungua Jibu