OFISI YA RAIS TAMISEMI NA TAWALA
ZA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MTIHANI WA MUHULA WA KWANZA
KIDATO CHA KWANZA
KISWAHILI 2023- MEI
Muda: 2:30
MAELEZO
SEHEMU A (Alama 30)
Orodha A | Orodha B |
|
|
SEHEMU B (ALAMA )50
(i) _______________ (ii) _______________
(iii) ______________ (iv) _______________
(b) Kwa kila tanzu tajwa hapo juu bainisha tanzu hizo za fasihi simulizi, zimejengwa na vipera vipi? Kwa kila tanzu ainisha hoja tano.
SEHEMU C (ALAMA) 20
(b) Jifanye wewe ni kiongozi wa michezo katika shule yenu, umechaguliwa kishiriki mashindano ya utungaji wa hadithi shindano linahusu sungura na fisi yenye maneno thamanini tu (80) Andika soga yenye maneno themanini tu (80)
FORM ONE KISWAHILI EXAM SERIES 135
FORM ONE KISWAHILI EXAM SERIES 135
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
KISWAHILI KIDATO CHA KWANZA
MUDA: SAA 2:00 2022
MAELEKEZO.
SEHEMU A UFAHAMU (Alama 10)
Aaah! Maskini ya Rabiee! Hii ndiyo nchi tuliyomo sisi!. Nchi inayovuja jasho ,nchi masikini, nchi ambayo wanawake huvaa nguo _ _ _ _! Nchi ambayo wanawake huvaa nywele za maiti_ _ _Haya ndiyo maendeleo yetu_ _ _ _.
Haki na usawa katika nchi masikini ni ndoto. Wengi huamua kuwa mabubu mara tu deemokrasia inapopokonywa na watu wachache. Huu ni Unafiki mkubwa.Haki haipo nchini mwetu ila tu tumefumbwa macho, Tumekuwa Vipofu.
Mimi nimeamua kupambana, nitachukua panga_ _ _ nitachukua pinde _ _ _ nitachukua mishale _ _ _ nitapigana kufa na kupona. Nitapigania haki na usawa.Haki! Haki! Usawa Haki! Haki_ _ _ _ maana yake nini.
MASWALI
d) Haki na usawa vitapatikana kwa njia gani? ______________________________
e) Andika maana ya maneno yaliyopigiwa mstari.
SEHEMU B (Alama 30)
UTUMIZI WA LUGHA.
Kwa mfano
Usahihi- Kiti kikubwa kimevunjika.
(b) Andika athari tano za kutotumia lugha kwa ufasaha.
(b) Kamusi hugawanyika katika sehemu ngapi? Zitaje.
(c) Taja mambo mawili yanayopatikana katika utangulizi wa kamusi.
SEHEMU C: (Alama 20)
SARUFI
Mfano
- Amina alikuwa anakula chakula kitamu.
Ts T
(b) Ainisha maneno yaliyopigiwa mstari katika sentensi zifuatazo.
(b) Tunga sentensi zenye miundo ifuatayo:- kwa kupigia mstari sentensi hiyo kuonesha aina hizo
za maneno.
Mfano: N + T + E =
Mama anapika jikoni.
N T E
SEHEMU D: (Alama 30)
FASIHI
(b) Nakili kisha ukamilishe kielelezo kifuatacho.
(a)Fasihi ina dhima/kazi mbalimbali katika jamii. Taja tano (5) na uzieleze kwa ufupi.
(a) Taja vipengele vitano (5) vinavyounda Fani katika kazi ya fasihi.
(b) Taja vipengele vitano (5) vinavyounda Maudhui katika kazi ya fasihi.
SEHEMU E: (Alama 10)
UTUNGAJI.
10. Mwandikie barua rafiki yako umweleze kuhusu hali halisi ya masomo ilivyo shuleni kwenu.
zingatia taratibu za uandishi wa barua za kirafiki katika uandishi wako.
1
FORM ONE KISWAHILI EXAM SERIES 94
FORM ONE KISWAHILI EXAM SERIES 94