SAMPLE LESSON FORMAT FOR MPANGO KAZI WA UFAHAMU- KISWAHILI KIDATO CHA PILI
1. CLASS INFORMATION
DATE STREAM PERIOD TIME NUMBER OF STUDENTS
40 Mins. REGISTERED PRESENT

2. COMPETENCE:
Jibu maswali kulingana na habari

3. GENERAL OBJECTIVES:
Kujisomea kwa ajili ya kujifunza na kwa burudani

4. SPECIFIC OBJECTIVES:
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze; Kujibu maswali ya ufahamu kutokana na habari aliyoisikiliza, Kufupisha kwa mdomo habari aliyoisikiliza

5. MAIN TOPIC
UFAHAMU

6. SUB-TOPIC
Ufahamu wa kusikiliza

7. TEACHING/ LEARNING MATERIALS
Kiswahili Kidato Cha Pili, Kitabu Cha Mwanafunzi; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania

 8. TEACHING/LEARNING AIDS
Vitabu Maandiko mbalimbali

TEACHING STRUCTURE
STAGE TIME TEACHER'S ACTIVITIES STUDENT'S ACTIVITIES   ASSESSMENT
INTRODUCTION 5 Mwalimu asome habari iliyoandaliwa kwa ufasaha. Wanafunzi wasikilize kwa habari inayosomwa Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
PRESENTATION 20 awape wanafunzi maswali ya ufahamu kutokana na habari waliyoisikiliza Wanafunzi wajibu maswali hayo kwa kusema au kuandika Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REFLECTION 5 Wape wanafunzi mazoezi ya kufupisha kwa mdomo habari waliyoisikiliza Wanafunzi wafanya mazoezi ya kuifupisha kwa mdomo habari waliyoisikiliza. Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REINFORCEMENT 5 Wape wanafunzi mazoezi ya kufupisha kwa mdomo habari waliyoisikiliza Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
CONCLUSION 5 Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi

STUDENT'S EVALUATION
Kwa zaidi ya asilimia 90 ya wanafunzi wameelewa kipindi kwa ufasaha

TEACHER'S EVALUATION
Maarifa ya kutosha nimeyatoa, na idadi kubwa ya wanafunzi wameelewa kipindi

REMARKS
Kwa wanafunzi ambao hawakuelewa mada vyema, watahudhuria watahudhuria vipindi vya ziada

FILL THE FORM BELOW TO DOWNLOAD MPANGO KAZI WA UFAHAMU- KISWAHILI KIDATO CHA PILI For T.Sh. 1,000/=

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256