SAMPLE LESSON FORMAT FOR MPANGO KAZI WA USIMULIZI- KISWAHILI KIDATO CHA PILI
1. CLASS INFORMATION
DATE STREAM PERIOD TIME NUMBER OF STUDENTS
80 Mins. REGISTERED PRESENT

2. COMPETENCE:
Simulia matukio mbalimbali

3. GENERAL OBJECTIVES:
Kusikiliza na kuelewa masimulizi mbalimbali atakayosimuliwa

4. SPECIFIC OBJECTIVES:
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze: kusimulia matukio mbalimbali kwa kuzingatia lafudhi ya kiswahili

5. MAIN TOPIC
USIMULIZI

6. SUB-TOPIC
Usimulizi wa matukio

7. TEACHING/ LEARNING MATERIALS
Kiswahili Kidato Cha Pili, Kitabu Cha Mwanafunzi; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania

 8. TEACHING/LEARNING AIDS
Magazeti, Mabango, Matangazo

TEACHING STRUCTURE
STAGE TIME TEACHER'S ACTIVITIES STUDENT'S ACTIVITIES   ASSESSMENT
INTRODUCTION 10 Ongoza wanafunzi mmoja mmoja wasimulie matukio mbalimbali yaliyotokea katika maneno yaowakizingatia lafudhi ya Kiswahili. wanafunzi mmoja mmoja wasimulie matukio mbalimbali yaliyotokea katika maneno yaowakizingatia lafudhi ya Kiswahili. Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
PRESENTATION 40 Ongoza wanafunzi kusoma hadithi mbalimbali Mwanafunzi asikilize kwa makini Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REFLECTION 10 Ongoza Wanafunzi wasimulie matukiombalimbali kwa kuzingatia lafudhi ya Kiswahili. Wanafunzi wasimulie matukiombalimbali kwa kuzingatia lafudhi ya Kiswahili. Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REINFORCEMENT 10 Ongoza Wanafunzi wasimulie matukiombalimbali kwa kuzingatia lafudhi ya Kiswahili. Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
CONCLUSION 10 Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi

STUDENT'S EVALUATION
Kwa zaidi ya asilimia 90 ya wanafunzi wameelewa kipindi kwa ufasaha

TEACHER'S EVALUATION
Maarifa ya kutosha nimeyatoa, na idadi kubwa ya wanafunzi wameelewa kipindi

REMARKS
Kwa wanafunzi ambao hawakuelewa mada vyema, watahudhuria watahudhuria vipindi vya ziada

FILL THE FORM BELOW TO DOWNLOAD MPANGO KAZI WA USIMULIZI- KISWAHILI KIDATO CHA PILI For T.Sh. 1,000/=

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256