SAMPLE LESSON FORMAT FOR MPANGO KAZI WA UFAHAMU- KISWAHILI KIDATO CHA KWANZA
1. CLASS INFORMATION
DATE STREAM PERIOD TIME NUMBER OF STUDENTS
40 Mins. REGISTERED PRESENT

2. COMPETENCE:
Kujibu maswali ya fasihi

3. GENERAL OBJECTIVES:
Kujenga tabia ya kujisomea maandiko mbalimbali ya Kiswahili

4. SPECIFIC OBJECTIVES:
Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze; Kujibu maswali kutokana na habari aliyoisikiliza.

5. MAIN TOPIC
UFAHAMU

6. SUB-TOPIC
8.1 Kusikiliza

7. TEACHING/ LEARNING MATERIALS
Kiswahili Kidato Cha Kwanza, Kitabu Cha Mwanafunzi; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania

 8. TEACHING/LEARNING AIDS
Makala ya masuala ya Jinsia, Ukimwi, Madawa ya kulevya na Ajira ya watoto

TEACHING STRUCTURE
STAGE TIME TEACHER'S ACTIVITIES STUDENT'S ACTIVITIES   ASSESSMENT
INTRODUCTION 5 Wasomee kwa ufasaha matini/ Makala kulingana na kiwango cha darasa. wanafunzi wasome makala Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
PRESENTATION 20 Wanafunzi wasikilize kwa makini. Wanafunzi wasikilize kwa makini. Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REFLECTION 5 Waulize wanafunzi maswali ya kufikirisha, kumbukumbu na ya uhakiki kutokana na habari waliyoisikiliza. Wanafunzi wajadili kisha wajibu maswali hayo kwa mdomo na kwa kuandika. Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REINFORCEMENT 5 Waulize wanafunzi maswali ya kufikirisha, kumbukumbu na ya uhakiki kutokana na habari waliyoisikiliza. Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
CONCLUSION 5 Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi

STUDENT'S EVALUATION
Kwa zaidi ya asilimia 90 ya wanafunzi wameelewa kipindi kwa ufasaha

TEACHER'S EVALUATION
Maarifa ya kutosha nimeyatoa, na idadi kubwa ya wanafunzi wameelewa kipindi

REMARKS
Kwa wanafunzi ambao hawakuelewa mada vyema, watahudhuria watahudhuria vipindi vya ziada

FILL THE FORM BELOW TO DOWNLOAD MPANGO KAZI WA UFAHAMU- KISWAHILI KIDATO CHA KWANZA For T.Sh. 1,000/=

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256