SAMPLE LESSON FORMAT FOR MPANGO KAZI WA USIMULIZI- KISWAHILI KIDATO CHA KWANZA
1. CLASS INFORMATION
DATE STREAM PERIOD TIME NUMBER OF STUDENTS
40 Mins. REGISTERED PRESENT

2. COMPETENCE:
Aonyeshe maadili mema

3. GENERAL OBJECTIVES:
Kujieleza kwa kiswahili kwa kusimulia au kuandika habari fupi kwa kuzingatia taratibu za uandishi

4. SPECIFIC OBJECTIVES:
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze kusimulia hadithi zenye maadili ya kijamii kwa kuzingatia Kiswahili fasaha.

5. MAIN TOPIC
USIMULIZI

6. SUB-TOPIC
5.1 Usimulizi wa Hadithi

7. TEACHING/ LEARNING MATERIALS
Kiswahili Kidato Cha Kwanza, Kitabu Cha Mwanafunzi; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania

 8. TEACHING/LEARNING AIDS
Picha kwenye mabango, vitini vyenye hadithi.

TEACHING STRUCTURE
STAGE TIME TEACHER'S ACTIVITIES STUDENT'S ACTIVITIES   ASSESSMENT
INTRODUCTION 5 Waongoze wanafunzi wasimulie hadithi mbalimbali kutokana na uzoefu wao au kutoka kwenye matini alizosoma. Hadithi hizo zijumuishe masuala yenye Elimu ya UKIMWI, Elimu ya Mazingira, Athari za ajira kwa wanafunzi wasimulie hadithi mbalimbali kutokana na uzoefu wao au kutoka kwenye matini alizosoma. Hadithi hizo zijumuishe masuala yenye Elimu ya UKIMWI, Elimu ya Mazingira, Athari za ajira kwa watoto. Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
PRESENTATION 20 Ongoza Wanafunzi wajadili kufaa au kutokufaa kwa habari hiyo. Wanafunzi wajadili kufaa au kutokufaa kwa habari hiyo. Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REFLECTION 5 Ongoza Wanafunzi wajadili kufaa au kutofaa kwa maadili ya hadhithi hizo Kwa kila usimulizi wanafunzi wabaini na kusahihisha makossa ya matamshi, kiimbo na mbinu za utambaji. Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REINFORCEMENT 5 Ongoza Wanafunzi wajadili kufaa au kutofaa kwa maadili ya hadhithi hizo Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
CONCLUSION 5 Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi

STUDENT'S EVALUATION
Kwa zaidi ya asilimia 90 ya wanafunzi wameelewa kipindi kwa ufasaha

TEACHER'S EVALUATION
Maarifa ya kutosha nimeyatoa, na idadi kubwa ya wanafunzi wameelewa kipindi

REMARKS
Kwa wanafunzi ambao hawakuelewa mada vyema, watahudhuria watahudhuria vipindi vya ziada

FILL THE FORM BELOW TO DOWNLOAD MPANGO KAZI WA USIMULIZI- KISWAHILI KIDATO CHA KWANZA For T.Sh. 1,000/=

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256