SAMPLE LESSON FORMAT FOR MPANGO KAZI WA MAWASILIANO- KISWAHILI KIDATO CHA KWANZA
1. CLASS INFORMATION
DATE STREAM PERIOD TIME NUMBER OF STUDENTS
40 Mins. REGISTERED PRESENT

2. COMPETENCE:
Fafanua dhana ya mawasiliano

3. GENERAL OBJECTIVES:
Kusikiliza na kuelewa taarifa au mazungumzo kwa kiswahili yanayolingana na kiwango chake

4. SPECIFIC OBJECTIVES:
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze; 1.Kufafanua dhima ya lugha katika mawasiliano

5. MAIN TOPIC
MAWASILIANO

6. SUB-TOPIC
1.1 Lugha kama chombo cha mawasiliano

7. TEACHING/ LEARNING MATERIALS
Kiswahili Kidato Cha Kwanza, Kitabu Cha Mwanafunzi; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania

 8. TEACHING/LEARNING AIDS
Kanda za sauti, katuni zenye maneno yenye matamshi na lafudhi sahihi na isiyo sahihi.

TEACHING STRUCTURE
STAGE TIME TEACHER'S ACTIVITIES STUDENT'S ACTIVITIES   ASSESSMENT
INTRODUCTION 5 1. Kwa kutumia maswali na majibu, pamoja na picha za mawazo waongoze wanafunzi wajadili hali ingekuwaje kama binadamu asingekuwa na lugha. wanafunzi wajadili hali ingekuwaje kama binadamu asingekuwa na lugha. Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
PRESENTATION 20 Ongoza Wanafunzi wafanye mazoezi ya kuwasiliana bila kutumia lugha, kisha watumie lugha 2. Wanafunzi wafanye mazoezi ya kuwasiliana bila kutumia lugha, kisha watumie lugha Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REFLECTION 5 Ongoza Wanafunzi katika vikundi wajadili umuhimu wa lugha katika mawasiliano 3. Wanafunzi katika vikundi wajadili umuhimu wa lugha katika mawasiliano Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REINFORCEMENT 5 Ongoza Wanafunzi katika vikundi wajadili umuhimu wa lugha katika mawasiliano Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
CONCLUSION 5 Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi

STUDENT'S EVALUATION
Kwa zaidi ya asilimia 90 ya wanafunzi wameelewa kipindi kwa ufasaha

TEACHER'S EVALUATION
Maarifa ya kutosha nimeyatoa, na idadi kubwa ya wanafunzi wameelewa kipindi

REMARKS
Kwa wanafunzi ambao hawakuelewa mada vyema, watahudhuria watahudhuria vipindi vya ziada

FILL THE FORM BELOW TO DOWNLOAD MPANGO KAZI WA MAWASILIANO- KISWAHILI KIDATO CHA KWANZA For T.Sh. 1,000/=

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256