NAMNA YA KUFANYA MALIPO YA SCHEME YAKO KWA TIGOPESA

1. Bonyeza *150*01#
2. Chagua 4-Lipa Bili
3. Chagua 3- namba ya kamupuni( business number)
4. Ingiza business number 220220
4. Weka kumbukumbu ya malipo(Reference number): Pp
5. Ingiza kiasi sh. 2000
6. Ingiza number ya siri
7. Utapata code from mpesa, mfano,
8.Ingiza hiyo confirmation code.
9. Bonyeza complete , Kisha subiri kwa sekunde chache kupelekwa katika page edit( unaweza edit vipindi, tarehe, mwezi, reference, tarehe ya mitihani, n.k)
10. Baada ya ku edit pakua (download scheme yako)

Fuata Mfano Wa Picha Hapa Chini

Kumbuka: Ukisha fanya malipo, sisi Learning Hub Tanzania tutakupatia recovery code ya scheme yako ndani ya saa 24, itakayo kuwezesha kuipata tena scheme yako na kuifanyia mabadiliko muda wowote kwa mwaka mzima. wasiliana nasi kwa swali, maoni & mapendekezo.

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256