Main Topic | Sub Topic | Content Covered | Date Started | Date Ended | Teacher's Comment | H.O.D Comment | H/M Comment |
---|---|---|---|---|---|---|---|
MAENDELEO YA KISWAIIILI | Asili ya Kiswahili | Baada ya kujifunza mada ndogo hii mwanafunzi aweze: a) kujadili ushahidi wa kihistoria unaothibitisha kuwa Kiswahili ni kibantu. b) kufafanua ushahidi wa kiisimu unaothibitisha kuwa Kiswahili ni kibantu, c) kueleza maana na sifa za pijini na kreoli. d) kutathmini hoja zinazodai kwamba Kiswahili ni kiarabu, pijini au kreoli, e) Kufafanua maana na matumizi ya lugha ya kwanza,pili, rasmi na lugha ya Taifa | |||||
MAENDELEO YA KISWAIIILI | Chimbuko la Kiswahili | Baada ya kujifunza mada ndogo hii mwanafunzi aweze: a) kutathmini hoja mbalimbali za chimbuko la Kiswahili. b) kujadili sababu za kuibuka kwa lahaja za Kiswahili. | |||||
MAENDELEO YA KISWAIIILI | Usanifishaji wa Kiswahili | Baada ya kujifunza mada ndogo hii mwanafunzi aweze: a) kujadili usanifishaji wa Kiswahili wakati wa Mwingereza. b) kufafanua sababu zilizofanya Kiunguja kiteuliwe kuwa msingi wa kusanifu Kiswahili. c) kujadili lcuteuliwa kwa Kiunguja kulivyodumaza lahaja nyingine za kiswahili. | |||||
MAENDELEO YA KISWAIIILI | Changamoto za kuenea kwa Kiswahili katika Afrika Mashariki kabla ya Uhuru | Baada ya kujifunza mada ndogo hii mwanafunzi aweze: a) kutathmini kuenca kwa Kiswahili nchini Tanganyika kabla ya uhuru. b) kutathmini kuenea kwa Kiswahili nchini Kenya kabla ya uhuru. c) kutathmini kucnca kwa Kiswahili nchini Uganda kabla ya uhuru. | |||||
FASIHI KWA UJUMLA | Nadharia ya fasihi | Baada ya kujifiinza mada ndogo hii mwanafunzi aweze: a) kujadili mitazamo mbalimbali ya fasili ya fasihi. b) Kufafanua dhima za mtunzi wa kazi za fasihi. c) kufafanua dhima za mhakiki wa kazi za fasihi. d) kujadili misingi ya uhakiki wa kazi za kifasihi. | |||||
-- | -- | -- |