HELLO YOUR HERE TO VIEW SHAJARA YA KISWAHILI KIDATO CHA PILI
Main Topic Sub Topic Content Covered Date Started Date Ended Teacher's Comment H.O.D Comment H/M Comment
UUNDAJI WA MANENOKutumia 1 uarnbishaji 1. Kubainisha mofimu katika maneno.
2. Kufafanua dhima za mofimu
UUNDAJI WA MANENOKutumia mnyumbuliko -1. Kueleza mazingira yanayosababisha mahitaji ya maneno mapya.
2. Mwanafunzi aweze kufafanua dhima ya uambishaji na mnyumbuliko wa maneno.
3. Kuunda maneno mbalimbali kwa kutumia mnyumbuliko
4. Mwanafunzi aweze kutumia maneno ya mnyumbuliko katika miktadha mbalimbali
MATUMIZI YA LUGHA KATIKA MIKTADHA MBALIMBALIRejesta1. Kuwasiliana kwa kutumia rejesta
2. Kuwasiliana kwa kutumia misimu.
MATUMIZI YA LUGHA KATIKA MIKTADHA MBALIMBALIMisimu 1. Kueleza miktadha ya mawasiliano yanayotumia misimu
MATUMIZI YA LUGHA KATIKA MIKTADHA MBALIMBALILugha ya kimazunguinz o na ya kimaandishi 1. Kubainisha sifa za lugha ya kimazungumzo na ya kimaandishi.
2. Kueleza dhima ya lugha ya kimazungumzo na ya kimaandishi.
3. Kutumia lugha ya kimazungumzo na kimaandishi katika miktadha sahihi.
MATUMIZI YA LUGHA KATIKA MIKTADHA MBALIMBALI Matamshi na lafudhi ya Kiswahili kutumia matamshi na lafudhi sahihi ya Kiswahili katika kuwasiliana.

Fill The Form Below To Download LOG BOOK Of SHAJARA YA KISWAHILI KIDATO CHA PILI For T.Sh. 2,000/=

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256