Umahiri Mkuu | Umahiri Mahususi | Kilicho Fundishwa | Tar. Ya Kuanza | Tar. Ya Kumaliza | Maoni Ya Mwl. | Maoni Ya Mkuu Wa Idara | Maoni Ya Mkuu Wa Shule |
---|---|---|---|---|---|---|---|
1.0 Kuwa nadhifu | 1.1 Kujenga tabia ya usafi wa mwili | a) Kuaridhia utaratibu wa kutunza nywele zinazoota sehemu anuai za mwili kwa kuzingatia usahihi na usalama wa vifaa | |||||
1.0 Kuwa nadhifu | 1.1 Kujenga tabia ya usafi wa mwili | b) Kufafanua uhifadhi wa vifaa vinavyotumika kujihifadhi wakati wa hedhi | |||||
1.0 Kuwa nadhifu | 1.1 Kujenga tabia ya usafi wa mwili | c) Kufafanua utunzaji wa mahali pa kulala na usafishaji wa matandiko husika | |||||
1.0 Kuwa nadhifu | 1.2 Kutunza mavazi katika kudumisha usaf | a) Kuchanganua faida za kusafisha nguo na kupiga pasi na madhara ya kukiuka | |||||
1.0 Kuwa nadhifu | 1.2 Kutunza mavazi katika kudumisha usaf | b) Kupambanua utaratibu wa kutunza nguo za ndani | |||||
1.0 Kuwa nadhifu | 1.2 Kutunza mavazi katika kudumisha usaf | c) Kuchambua utaratibu wa utunzaji viatu |