Umahiri Mkuu | Umahiri Mahususi | Kilicho Fundishwa | Tar. Ya Kuanza | Tar. Ya Kumaliza | Maoni Ya Mwl. | Maoni Ya Mkuu Wa Idara | Maoni Ya Mkuu Wa Shule |
---|---|---|---|---|---|---|---|
1.0 Kufanya uchunguzi na ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia | 1.1 Kuchunguza vitu vilivyopo katika mazingira | a) Kutambua na kutofautisha alama mbalimbali za tahadhari zilizopo katika mazingira husika | |||||
1.0 Kufanya uchunguzi na ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia | 1.1 Kuchunguza vitu vilivyopo katika mazingira | b) Kutofautisha matumizi ya alama za tahadhari katika mazingira tofauti na husika- | |||||
1.0 Kufanya uchunguzi na ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia | 1.1 Kuchunguza vitu vilivyopo katika mazingira | b) Kutofautisha matumizi ya alama za tahadhari katika mazingira tofauti na husika | |||||
1.0 Kufanya uchunguzi na ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia | 1.2 Kutambua aina anuai za nishati na matumizi yake | a) Kueleza namna ya kuzalisha umeme kwa kutumia mawimbi ya maji | |||||
1.0 Kufanya uchunguzi na ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia | 1.2 Kutambua aina anuai za nishati na matumizi yake | b) Kubaini namna ya kuzalisha umeme kwa njia ya joto la ardhi | |||||
1.0 Kufanya uchunguzi na ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia | 1.2 Kutambua aina anuai za nishati na matumizi yake | c) Kutathmini ubora wa nishati jadidifu dhidi ya vyanzo vingine vya nishati |