Umahiri Mkuu | Umahiri Mahususi | Kilicho Fundishwa | Tar. Ya Kuanza | Tar. Ya Kumaliza | Maoni Ya Mwl. | Maoni Ya Mkuu Wa Idara | Maoni Ya Mkuu Wa Shule |
---|---|---|---|---|---|---|---|
1.0 Kutambua matukio yanayotokea katika mazingira yanayo mzunguka | 1.1 Kutunza mazingira ya jamii inayo mzunguka | a) Kuchambua majanga ya asili na jinsi yanavyosababisha uharibifu wa mazingira na kuathiri mahusiano ya kutegemeana katika mazingira b) Kubainisha vyanzo vya majanga ya asili kwa kuhusianisha chanzo kimoja na kingine | |||||
1.0 Kutambua matukio yanayotokea katika mazingira yanayo mzunguka | 1.1 Kutunza mazingira ya jamii inayo mzunguka | c) Anachambua tahadhari za kuchukua ili kukabiliaana na madhara ya majanga ya asili kwa kutoa mifano | |||||
1.0 Kutambua matukio yanayotokea katika mazingira yanayo mzunguka | 1.1 Kutunza mazingira ya jamii inayo mzunguka | d) Kuchanganua vyanzo vya janga la moto na taratibu za kuzuia janga hilo | |||||
1.0 Kutambua matukio yanayotokea katika mazingira yanayo mzunguka | 1.1 Kutunza mazingira ya jamii inayo mzunguka | e) Kuelezea namna ya kutumia kanuni za kuzima moto na uokoaji katika mazingira yanayomzu- nguka | |||||
1.0 Kutambua matukio yanayotokea katika mazingira yanayo mzunguka | 1.2 Kutunza kumbu kumbu za matukio ya Kihistoria | a) Kulinganisha maendeleo ya zana za uzalishaji mali za zama za mawe, zama za chuma na na maendeleo ya sayansi na teknolojia kwa sasa | |||||
1.0 Kutambua matukio yanayotokea katika mazingira yanayo mzunguka | 1.2 Kutunza kumbu kumbu za matukio ya Kihistoria | b) Kutofautisha mabadiliko ya kimaendeleo kati ya zama za mawe na zama za chuma kwenye nyanja za kiuchumi, kijamii, kisiasa na kiutamaduni |