Umahiri Mkuu | Umahiri Mahususi | Kilicho Fundishwa | Tar. Ya Kuanza | Tar. Ya Kumaliza | Maoni Ya Mwl. | Maoni Ya Mkuu Wa Idara | Maoni Ya Mkuu Wa Shule |
---|---|---|---|---|---|---|---|
1.0 Kutumia lugha ya kihisabati kuwasilisha wazo au hoja katika maisha ya kila siku (sehemu ya kwanza) | 1.1 Kutumia dhana ya namba kuwasiliana katika mazingira tofauti | a) Kubaini thamani ya nafasi za tarakimu katika namba zisizozidi 1 000 000 000 b) Kusoma namba nzima zisizozidi 1 000 000 000 zilizoandikwa kwa maneno c) Kusoma namba nzima zisizozidi 1 000 000 000 zilizoandikwa kwa tarakimu d) Kuandika namba nzima zisizozidi 1 000 000 000 kwa numerali | |||||
1.0 Kutumia lugha ya kihisabati kuwasilisha wazo au hoja katika maisha ya kila siku (sehemu ya kwanza) | 1.1 Kutumia dhana ya namba kuwasiliana katika mazingira tofauti | e) Kuandika namba nzima zisizozidi 1 000 000 000 kwa maneno | |||||
1.0 Kutumia lugha ya kihisabati kuwasilisha wazo au hoja katika maisha ya kila siku (sehemu ya kwanza) | 1.1 Kutumia dhana ya namba kuwasiliana katika mazingira tofauti | f) Kujumlisha namba nzima kupata jumla isiyozidi 1 000 000 000 bila kuchukua na kwa kuchukuag) Kutoa namba nzima hadi 1 000 000 000 bila kuchukua na kwa kuchukua | |||||
1.0 Kutumia lugha ya kihisabati kuwasilisha wazo au hoja katika maisha ya kila siku (sehemu ya kwanza) | 1.1 Kutumia dhana ya namba kuwasiliana katika mazingira tofauti | h) Kuzidisha namba nzima kupata zao lisilozidi 1 000 000 000 | |||||
1.0 Kutumia lugha ya kihisabati kuwasilisha wazo au hoja katika maisha ya kila siku (sehemu ya kwanza) | 1.1 Kutumia dhana ya namba kuwasiliana katika mazingira tofauti | i) Kugawanya namba nzima zenye kigawanye kisichozidi 1 000 000 000 kwa kigawanyo kisichozidi laki moja bila baki | |||||
1.0 Kutumia lugha ya kihisabati kuwasilisha wazo au hoja katika maisha ya kila siku (sehemu ya kwanza) | 1.1 Kutumia dhana ya namba kuwasiliana katika mazingira tofauti | j) Kugawanya namba nzima zenye kigawanye kisichozidi 1 000 000 000 kwa kigawanyo kisichozidi laki moja na baki |