HELLO YOUR HERE TO VIEW SHAJARA YA HISABATI DARASA LA SABA
Umahiri Mkuu Umahiri Mahususi Kilicho Fundishwa Tar. Ya Kuanza Tar. Ya Kumaliza Maoni Ya Mwl. Maoni Ya Mkuu Wa Idara Maoni Ya Mkuu Wa Shule
1.0 Kutumia lugha ya kihisabati kuwasilisha wazo au hoja katika maisha ya kila siku (sehemu ya kwanza)1.1 Kutumia dhana ya namba kuwasiliana katika mazingira tofautia) Kubaini thamani ya nafasi za tarakimu katika namba zisizozidi 1 000 000 000 b) Kusoma namba nzima zisizozidi 1 000 000 000 zilizoandikwa kwa maneno c) Kusoma namba nzima zisizozidi 1 000 000 000 zilizoandikwa kwa tarakimu d) Kuandika namba nzima zisizozidi 1 000 000 000 kwa numerali
1.0 Kutumia lugha ya kihisabati kuwasilisha wazo au hoja katika maisha ya kila siku (sehemu ya kwanza)1.1 Kutumia dhana ya namba kuwasiliana katika mazingira tofautie) Kuandika namba nzima zisizozidi 1 000 000 000 kwa maneno
1.0 Kutumia lugha ya kihisabati kuwasilisha wazo au hoja katika maisha ya kila siku (sehemu ya kwanza)1.1 Kutumia dhana ya namba kuwasiliana katika mazingira tofautif) Kujumlisha namba nzima kupata jumla isiyozidi 1 000 000 000 bila kuchukua na kwa kuchukuag) Kutoa namba nzima hadi 1 000 000 000 bila kuchukua na kwa kuchukua
1.0 Kutumia lugha ya kihisabati kuwasilisha wazo au hoja katika maisha ya kila siku (sehemu ya kwanza)1.1 Kutumia dhana ya namba kuwasiliana katika mazingira tofautih) Kuzidisha namba nzima kupata zao lisilozidi 1 000 000 000
1.0 Kutumia lugha ya kihisabati kuwasilisha wazo au hoja katika maisha ya kila siku (sehemu ya kwanza)1.1 Kutumia dhana ya namba kuwasiliana katika mazingira tofautii) Kugawanya namba nzima zenye kigawanye kisichozidi 1 000 000 000 kwa kigawanyo kisichozidi laki moja bila baki
1.0 Kutumia lugha ya kihisabati kuwasilisha wazo au hoja katika maisha ya kila siku (sehemu ya kwanza)1.1 Kutumia dhana ya namba kuwasiliana katika mazingira tofautij) Kugawanya namba nzima zenye kigawanye kisichozidi 1 000 000 000 kwa kigawanyo kisichozidi laki moja na baki

Fill The Form Below To Download SHAJARA YA HISABATI DARASA LA SABA For T.Sh. 2,000/=

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256