Umahiri Mkuu | Umahiri Mahususi | Kilicho Fundishwa | Tar. Ya Kuanza | Tar. Ya Kumaliza | Maoni Ya Mwl. | Maoni Ya Mkuu Wa Idara | Maoni Ya Mkuu Wa Shule |
---|---|---|---|---|---|---|---|
1.0 Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali | 1.1 Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali | a) Kubainisha na kueleza sifa za mashairi ya kimapokeo na kisasa na kuyatofautisha b) Kutunga mashairi ya kimapokeo yenye mishororo minne kwa kuzingatia kanuni za utunzi wa mashairi na kuyahusianisha na mazingira ya kila siku c) Kutunga mashairi ya kisasa yenye beti sita au zaidi na kuyahusianisha na mazingira ya kila siku | |||||
1.0 Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali | 1.1 Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali | b) Kutunga mashairi ya kimapokeo yenye mishororo minne kwa kuzingatia kanuni za utunzi wa mashairi na kuyahusianisha na mazingira ya kila siku c) Kutunga mashairi ya kisasa yenye beti sita au zaidi na kuyahusianisha na mazingira ya kila siku | |||||
1.0 Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali | 1.1 Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali | d) Kughani tenz na kuelezea ujumbe
unaopatikana na kuhusianisha na mazingira ya kila siku
| |||||
1.0 Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali | 1.1 Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali | e) Kuchambua maudhui yote yaliyomo katika mashairi ya kimapokeo na kisasa, kuyaelezea na kuyahusianisha na mazingira ya kila siku | |||||
1.0 Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali | 1.1 Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali | f) Kutafsiri lugha ya picha katika ngonjera na kutamba kingojera na kuhusianisha na maisha ya kila siku | |||||
1.0 Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali | 1.1 Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali | g) Kutafsiri lugha ya picha katika vitendawili na kuelezea maana zake kwa kuhusianisha na maisha ya kila siku |