Umahiri Mkuu | Umahiri Mahususi | Kilicho Fundishwa | Tar. Ya Kuanza | Tar. Ya Kumaliza | Maoni Ya Mwl. | Maoni Ya Mkuu Wa Idara | Maoni Ya Mkuu Wa Shule |
---|---|---|---|---|---|---|---|
1. Kuheshimu jamii | 1.1 Kujipenda na kuwapenda watu wengine | a) Kuchambua vitendo vya kuelimisha jamii kuhusu kutoa misaada ya mahitaji ya watu mbalimbali | |||||
1. Kuheshimu jamii | 1.1 Kujipenda na kuwapenda watu wengine | b) Kubainisha vitendo vya kuhudumia na kuwafariji watu wanaokosa mahitaji mbalimbali katika jamii | |||||
1. Kuheshimu jamii | 1 2 Kuipenda na kujivunia shule yake | a) Kutofautisha kwa mifano vitendo vya kutoa misaada mbalimbali ya kuleta maendeleo ya shule yake | |||||
1. Kuheshimu jamii | 1.1 Kujipenda na kuwapenda watu wengine | b) Kutekeleza mpango wa kazi za kujitolea ili kuleta maendeleo ya shule yake | |||||
1. Kuheshimu jamii | 1.1 Kujipenda na kuwapenda watu wengine | c) Kutumia njia na mbinu mbalimbali kuitangaza shule yake kwa watu wengine | |||||
1. Kuheshimu jamii | 1 3 Kuipenda Tanzania kwa kuenzi tunu za nchi na asili yake | a) Kubuni vitendo vya kuhamasisha na kudumisha amani katika jamii b) Kufafanua vitendo vinavyo ashiria uhuru na umoja wa Taifa |