Umahiri Mkuu | Umahiri Mahususi | Kilicho Fundishwa | Tar. Ya Kuanza | Tar. Ya Kumaliza | Maoni Ya Mwl. | Maoni Ya Mkuu Wa Idara | Maoni Ya Mkuu Wa Shule |
---|---|---|---|---|---|---|---|
1. 0 Kuwa nadhifu | 1.1 Kutunza mavazi katika kudumisha usafi. | a) Kufua nguo b) Kupiga nguo pasi | |||||
1. 0 Kuwa nadhifu | 1.1 Kutunza mavazi katika kudumisha usafi. | b) Kupiga nguo pasi | |||||
1. 0 Kuwa nadhifu | 1.1 Kutunza mavazi katika kudumisha usafi. | c) Kusafisha viatu | |||||
1. 0 Kuwa nadhifu | 1.2 Kutunza mazingira katika kudumisha makazi safi | a) Kutunza bustani b) Kufukia taka zinazooza | |||||
1. 0 Kuwa nadhifu | 1.2 Kutunza mazingira katika kudumisha makazi safi | c) Kuteketeza taka zisizooza | |||||
2.0 Kumudu mapishi mbalimbali. | 2.1 Kutayarisha vyakula vya aina tofauti. | a) Kukaanga vyakula tofauti vina vyokaangwa kwa mafuta mengi kwa kuzingatia taratibu zinazotakiwa. |