Umahiri Mkuu | Umahiri Mahususi | Kilicho Fundishwa | Tar. Ya Kuanza | Tar. Ya Kumaliza | Maoni Ya Mwl. | Maoni Ya Mkuu Wa Idara | Maoni Ya Mkuu Wa Shule |
---|---|---|---|---|---|---|---|
1.0 Kufanya Uchunguzi na Ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia | 1.1 Kuchunguza vitu vilivyopo katika mazingira | a) Kufafanua gesi zinazounda hewa b) Kubaini mahitaji muhimu katika ukuaji wa mmea | |||||
1.0 Kufanya Uchunguzi na Ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia | 1.1 Kuchunguza vitu vilivyopo katika mazingira | c) Kufanya jaribio la kuthibitisha usanishaji chakula katika mmea d) Kutofautisha aina za udongo | |||||
1.0 Kufanya Uchunguzi na Ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia | 1.1 Kuchunguza vitu vilivyopo katika mazingira | e) Kubaini vitendo vinavyosababisha athari katika udongo | |||||
1.0 Kufanya Uchunguzi na Ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia | 1.1 Kuchunguza vitu vilivyopo katika mazingira | f) Kufanya vitendo vya kutunza udongo | |||||
1.0 Kufanya Uchunguzi na Ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia | 1.2 Kutambua aina anuai za nishati na matumizi yake | a) Kufanya vitendo vya kuthibitisha kanuni ya Ohm katika mkondo wa umeme b) Kueleza dhana ya kukinga sakiti na majengo dhidi ya umeme mkubwa | |||||
1.0 Kufanya Uchunguzi na Ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia | 1.2 Kutambua aina anuai za nishati na matumizi yake | -c) Kufafanua dhana ya nishati jadidifu |