Umahiri Mkuu | Umahiri Mahususi | Kilicho Fundishwa | Tar. Ya Kuanza | Tar. Ya Kumaliza | Maoni Ya Mwl. | Maoni Ya Mkuu Wa Idara | Maoni Ya Mkuu Wa Shule |
---|---|---|---|---|---|---|---|
1.0 Kutambua matukio yanayotokea katika mazingira yanayomzu nguka. | 1.1 Kutunza mazingira ya jamii inayomzunguka. | a) Kuchambua majanga yatokanayo na uharibifu wa mazingira | |||||
1.0 Kutambua matukio yanayotokea katika mazingira yanayomzu nguka. | 1.1 Kutunza mazingira ya jamii inayomzunguka. | b) Kutathimini vitendo vya kukabiliana na uharibifu wa mazingira. | |||||
1.0 Kutambua matukio yanayotokea katika mazingira yanayomzu nguka. | 1.1 Kutunza mazingira ya jamii inayomzunguka. | b) Kutathimini vitendo vya kukabiliana na uharibifu wa mazingira. | |||||
1.0 Kutambua matukio yanayotokea katika mazingira yanayomzu nguka. | 1.2 Kutunza kumbukumbu za matukio ya kihistoria. | a) Kupanga matukio kwa kufuata mtiririko wa wakati (mf. Usasa kwenda ukale). | |||||
--1.0 Kutambua matukio yanayotokea katika mazingira yanayomzu nguka. | 1.2 Kutunza kumbukumbu za matukio ya kihistoria. | a) Kupanga matukio kwa kufuata mtiririko wa wakati (mf. Usasa kwenda ukale). | |||||
1.0 Kutambua matukio yanayotokea katika mazingira yanayomzu nguka. | 1.2 Kutunza kumbukumbu za matukio ya kihistoria. | b) Kuwasilisha taarifa za matukio ya kihistoria. c) Kuchambua njia za kutunza taarifa za matukio ya kihistoria. |