HELLO YOUR HERE TO VIEW SHAJARA YA HISABATI DARASA LA SITA
Umahiri Mkuu Umahiri Mahususi Kilicho Fundishwa Tar. Ya Kuanza Tar. Ya Kumaliza Maoni Ya Mwl. Maoni Ya Mkuu Wa Idara Maoni Ya Mkuu Wa Shule
Kutumia lugha ya kihisabati katika kuwasilisha wazo au hoja.Kutumia dhana ya namba katika kuwasiliana katika mazingira tofauti.i) Kuhesabu hadi 10000000 kwa mfuatano. ii) Kusoma namba hadi 10000000. iii)Kuandika namba kwa tarakimu hadi 10000000. iv)Kuandika namba kwa maneno hadi 10000000.
Kutumia lugha ya kihisabati katika kuwasilisha wazo au hojaKutumia dhana ya namba katika kuwasiliana katika mazingira tofauti.v) Kubaini thamani ya tarakimu katika namba (mamoja, makumi, mamia, maelfu, makumi elfu mamia elfu na mamilioni). vi)Kuorodhesha namba kamili katika mstari. vii)Kusoma desimali hadi nafasi tatu.
Kutumia lugha ya kihisabati katika kuwasilisha wazo au hojaKutumia dhana ya namba katika kuwasiliana katika mazingira tofauti.viii)Kuandika desimali hadi nafasi tatu.
Kutumia lugha ya kihisabati katika kuwasilisha wazo au hojaKutumia dhana ya namba katika kuwasiliana katika mazingira tofauti.ix) Kukadiria namba nzima. v) Kukadiria namba za desimali.
Kufikiri na kuhakiki katika maisha ya kila siku.Kutumia stadi za mpangilio kufumbua mafumbo katika maisha ya kila siku.i) Kukokotoa KKS cha namba zisizozidi tatu. ii) Kukokotoa KDS cha namba tatu iii)Kubadili asilimia kuwa desimali. iv)Kubadili asilimia kuwa sehemu. v) Kubadili sehemu kuwa desimali. vi)Kubadili desimali kuwa sehemu. vii)Kubadili desimali kuwa asilimia. viii)Kubadili sehemu kuwa asilimia.
Kufikiri na kuhakiki katika maisha ya kila siku.Kutumia stadi za mpangilio kufumbua mafumbo katika maisha ya kila siku.v) Kubadili sehemu kuwa desimali. vi)Kubadili desimali kuwa sehemu. vii)Kubadili desimali kuwa asilimia. viii)Kubadili sehemu kuwa asilimia.

Fill The Form Below To Download SHAJARA YA HISABATI DARASA LA SITA For T.Sh. 2,000/=

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256