Umahiri Mkuu | Umahiri Mahususi | Kilicho Fundishwa | Tar. Ya Kuanza | Tar. Ya Kumaliza | Maoni Ya Mwl. | Maoni Ya Mkuu Wa Idara | Maoni Ya Mkuu Wa Shule |
---|---|---|---|---|---|---|---|
1. Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali | 1.1Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali | a) Kuimba wimbo wa kizalendo kwa ufasaha (Tazama Ramani). b) Kutaja na Kueleza mawazo makuu yaliyomo katika wimbo wa kizalendo. | |||||
1. Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali | 1.1Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali | c) Kughani shairi kwa kuzingatia kanuni za mashairi (vina, mizani na kituo) | |||||
1. Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali | 1.1Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali | d) Kuigiza igizo dhima kuhusu Elimu ya Manunuzi na kueleza maudhui yake. | |||||
1. Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali | 1.1Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali | e) Kusimulia hadithi yenye methali na kuelezea maana ya mafunzo yaliyopatikana katika methali | |||||
1. Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali | 1.1Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali | f) Kubainisha na kueleza taswira za kimawazo zilizo katika nahau kutoka katika hadithi.. | |||||
1. Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali | 1.1Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali | g) Kusimulia mambo yaliyoonekana baada ya kufanya ziara fupi katika mazingira ya jirani na shule. |