Umahiri Mkuu | Umahiri Mahususi | Kilicho Fundishwa | Tar. Ya Kuanza | Tar. Ya Kumaliza | Maoni Ya Mwl. | Maoni Ya Mkuu Wa Idara | Maoni Ya Mkuu Wa Shule |
---|---|---|---|---|---|---|---|
1.Kuheshimu jamii | 1.1 Kujipenda na kuwapenda watu wengine | a) Kuonyesha tabia ya kupenda kutoa msaada kwa watu wenye mahitaji mbalimbali b)Kuthamini mchango wa watu wengine katika ustawi wa jamii | |||||
1.Kuheshimu jamii | 1.1 Kujipenda na kuwapenda watu wengine | c) Kuonyesha matendo mema na ya heshima d) Kutenda matendo ya kujilinda na kuwalinda wengine kutokana na makundi rika hatarishi | |||||
1.Kuheshimu jamii | 1.2Kuipenda na kujivunia shule yake | a)Kueleza ujumbe uliomo katika kauli mbiu na wimbo wa shule yake b)Kutunga nyimbo/ ngonjera/ mashairi ya kuisifu shule yake | |||||
1.Kuheshimu jamii | 1.3Kuipenda Tanzania kwakuenzi tunu mbalimbali za nchi na asili yake | a) Kufafanua njia mbalimbali za kuitangaza nchi yake ya Tanzania b) Kueleza umuhimu wa tunu za Taifa | |||||
1.Kuheshimu jamii | 1.3Kuipenda Tanzania kwakuenzi tunu mbalimbali za nchi na asili yake | c) Kubainisha muundo wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania d) Kueleza dhamira ya sikukuu za kitaifa.e)Kufafanua jinsi demokrasia inavyotumika nchini | |||||
2. Kuthamini jamii | 2.1 Kujijali na kuwajali wengine | a)Kukemea vitendo vinavyoweza kuhatarisha ustawi wa jamii b)Kufanya vitendo vinavyo wavutia wenzake kujiepusha na tabia hatarishi c)Kuomba ushauri nasaha pale inapohitajika |