HELLO YOUR HERE TO VIEW SHAJARA YA URAIA NA MAADILI DARASA LA SITA
Umahiri Mkuu Umahiri Mahususi Kilicho Fundishwa Tar. Ya Kuanza Tar. Ya Kumaliza Maoni Ya Mwl. Maoni Ya Mkuu Wa Idara Maoni Ya Mkuu Wa Shule
1.Kuheshimu jamii1.1 Kujipenda na kuwapenda watu wenginea) Kuonyesha tabia ya kupenda kutoa msaada kwa watu wenye mahitaji mbalimbali b)Kuthamini mchango wa watu wengine katika ustawi wa jamii
1.Kuheshimu jamii1.1 Kujipenda na kuwapenda watu wenginec) Kuonyesha matendo mema na ya heshima d) Kutenda matendo ya kujilinda na kuwalinda wengine kutokana na makundi rika hatarishi
1.Kuheshimu jamii1.2Kuipenda na kujivunia shule yakea)Kueleza ujumbe uliomo katika kauli mbiu na wimbo wa shule yake b)Kutunga nyimbo/ ngonjera/ mashairi ya kuisifu shule yake
1.Kuheshimu jamii1.3Kuipenda Tanzania kwakuenzi tunu mbalimbali za nchi na asili yakea) Kufafanua njia mbalimbali za kuitangaza nchi yake ya Tanzania b) Kueleza umuhimu wa tunu za Taifa
1.Kuheshimu jamii1.3Kuipenda Tanzania kwakuenzi tunu mbalimbali za nchi na asili yakec) Kubainisha muundo wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania d) Kueleza dhamira ya sikukuu za kitaifa.e)Kufafanua jinsi demokrasia inavyotumika nchini
2. Kuthamini jamii2.1 Kujijali na kuwajali wenginea)Kukemea vitendo vinavyoweza kuhatarisha ustawi wa jamii b)Kufanya vitendo vinavyo wavutia wenzake kujiepusha na tabia hatarishi c)Kuomba ushauri nasaha pale inapohitajika

Fill The Form Below To Download SHAJARA YA URAIA NA MAADILI DARASA LA SITA For T.Sh. 2,000/=

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256