Umahiri Mkuu | Umahiri Mahususi | Kilicho Fundishwa | Tar. Ya Kuanza | Tar. Ya Kumaliza | Maoni Ya Mwl. | Maoni Ya Mkuu Wa Idara | Maoni Ya Mkuu Wa Shule |
---|---|---|---|---|---|---|---|
1. 0 Kuwa nadhifu | 1.1 Kujenga tabia ya usafi wa mwili. | a) Kueleza utaratibu wa us
afishaji wa mwili . b) Kueleza utaratibu wa usafi wa mwili wakati wa balehe kwa jinsi zote | |||||
1. 0 Kuwa nadhifu | 1.1 Kujenga tabia ya usafi wa mwili. | c) Kuvaa sare ya shule kwa kufuata utaratibu uliopangwa | |||||
1. 0 Kuwa nadhifu | 1.2 Kutunza mavazi katika kudumi sha usafi. | a) Kushona mishono sahili. b) Kurekebi sha mavazi yaliyochani ka kwa kuzingatia kanuni za urekebishaji wa mavazi. | |||||
1. 0 Kuwa nadhifu | 1.2 Kutunza mavazi katika kudumi sha usafi. | c) Kushonea vifungo | |||||
1. Kuwa nadhifu | 1.3 Kutunza mazingira katika kudumisha makazi safi | a) Kusafisha sakafu kwa kufuata utaratibu b) Kuelezea jinsi ya kufanya usafi sehemu ya kulala. c) Kueleza utaratibu wa kuhifadhi taka. | |||||
1. 0 Kuwa nadhifu | 1.3 Kutunza mazingira katika kudumisha makazi safi | c) Kueleza utaratibu wa kuhifadhi taka. |