HELLO YOUR HERE TO VIEW SHAJARA YA VOCATIONAL SKILLS DARASA LA TANO
Umahiri Mkuu Umahiri Mahususi Kilicho Fundishwa Tar. Ya Kuanza Tar. Ya Kumaliza Maoni Ya Mwl. Maoni Ya Mkuu Wa Idara Maoni Ya Mkuu Wa Shule
1. 0 Kuwa nadhifu1.1 Kujenga tabia ya usafi wa mwili.a) Kueleza utaratibu wa us afishaji wa mwili .
b) Kueleza utaratibu wa usafi wa mwili wakati wa balehe kwa jinsi zote
1. 0 Kuwa nadhifu1.1 Kujenga tabia ya usafi wa mwili.c) Kuvaa sare ya shule kwa kufuata utaratibu uliopangwa
1. 0 Kuwa nadhifu1.2 Kutunza mavazi katika kudumi sha usafi. a) Kushona mishono sahili.
b) Kurekebi sha mavazi yaliyochani ka kwa kuzingatia kanuni za urekebishaji wa mavazi.
1. 0 Kuwa nadhifu1.2 Kutunza mavazi katika kudumi sha usafi. c) Kushonea vifungo
1. Kuwa nadhifu1.3 Kutunza mazingira katika kudumisha makazi safi a) Kusafisha sakafu kwa kufuata utaratibu
b) Kuelezea jinsi ya kufanya usafi sehemu ya kulala. c) Kueleza utaratibu wa kuhifadhi taka.
1. 0 Kuwa nadhifu1.3 Kutunza mazingira katika kudumisha makazi safic) Kueleza utaratibu wa kuhifadhi taka.

Fill The Form Below To Download SHAJARA YA VOCATIONAL SKILLS DARASA LA TANO For T.Sh. 2,000/=

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256